Matembezi ya amani kutunisha mfuko wa M4C

Matembezi ya amani kutunisha mfuko wa M4C

Fred

Hongera kwa wazo zuri, ingawa bado linahitaji maboresho ya hapa na pale, but generally hongera sana kwa kutimiza wajibu wako kwa kuhakikisha CHADEMA na mapambano kwa ujumla yanatimiza lengo la kutoa utumishi bora kwa umma, lengo ambalo ili litimie, historia ya nchi hii inapaswa kuongezwa kurasa kadhaa zitakazosema kuwa CCM kiliwahi kutawala mwaka fulani mpaka mwaka fulani...

Kutokana na majukumu kadhaa yaliyonibana kwelikweli sikuwahi ku comment mapema ingawa niliona kilichoandikwa mapema sana na kufuatilia mjadala baadae kwa kina. Kwa ajili ya kuangalia tunasonga namna gani mbele, hasa kwa ku-incorporate wazo hili katika plans zinazofanana na hiki kitu ili sasa viwe under same umbrella kwa ajili ya efficiency na effectiveness, nitaku PM wewe na wengine ambao nimefuatilia mchango wao hata kama ni kwa kuweka alama ya 'like', hata wale waliopinga au kuponda pia.

Lakini pia ili kurahisisha mambo, fanya hivi 0688 595831, hata kama ni usiku wa manane.

Tutalizungusha hili gurudumu na kulifikisha tunakofikiria na kuona kwenye ndoto zetu mchana na usiku, iwapo tu kila mmoja wetu atatimiza wajibu wake kama ulivyofanya Kamanda Fred na kama wanavyofanya wengine kwa namna mbalimbali, ikiwemo critiques and constructive criticism.

Kila mmoja wetu anacho cha kuchangia katika mapambano haya na mchango wa kila mmoja wetu utathminiwa kadri inavyotakiwa, kama si leo basi kesho au keshokutwa kwenye kurasa za historia ambayo inaendelea kuandikwa kila kila sekunde inayopita. Baadae nitaweza kujadili kwa kina baadhi ya mambo ambayo si lazima sana kupelekeana PM.

Shukurani sana mkuu nasubiria mawazo yako no nishaisave tutafutana hapa katikati kuna mengine sikuweka hapa kwa sababu ni mbinu huwezi mwaga zote hapa watu wazitumie
 
Fred

Hongera sana kaka, ntakutafuta Privately kukupongeza zaidi tho hautanijua kutokana na kutumia Fake ID hapa jukwaani. (Yote hii ni kutokana na woga tulopandikiziwa toka enzi mpaka leo ya kina Ulimboka). Ila fahamu ya kuwa tushajadili mengi sana mimi na wewe kuhusu CHAMA na UKOMBOZI.

1. Sasa Hivi CDM ina wenyeviti na makatibu kila Mkoa na Wilaya na mpaka Kata. Sasa ili kurahisisha utekelezwaji wa Hili wazo ni vyema katika mawasiliano yako na Tumaini Makene akusaidie kupata wakala japo mmoja katika kila Mkoa, Wilaya and If possible Kata. Ili matembezi haya yaratibiwe Nchi nzima, japo inaweza isiwe kufanyika kwa siku moja wala Fee isifanane kutokana na kipato cha eneo husika.
Ikiwezekana ndani ya miezi miwili tu yawe yamefanyika Nchi nzima tayari.

2. Matembezi haya yasiwe tu kukusanya mchango wa pesa, kuna watakaoweza jitolea Mafuta ya Usafiri, kuna wataoweza jitolea Accomodations za Viongozi waalikwa katika Mikutano ya Hamasa na Wengine hata kuchapisha Bendera au Kadi etc. Kila Mmoja asikilizwe kwa kile atachoweza toa au fanya kwa ajili ya chama na Taifa.

3. Katika Matembezi haya, pia wananchi waulizwe na watoe maoni yao, ni kwa namna gani Chama kiendeshwe ili kiwe na manufaa na mafanikio zaidi. Ifahamike, "ili ueleweke zaidi, lazima uongee kwa lugha yake, baadae ataongea yako". Sio watu wote wanaelewa kwa Approach moja. So wao wakifundishe Chama ni kwa namna gani kitaweza kupenetrate jamii husika.

Fred mengine mengi tutayazungumza na kuyajadili, na itakuwa mapema saaaaana kabla haujafikisha suala lako mbali.

Nakuunga mkono, and Yes nitakuwepoa physically Dar na Arusha na pengine popote kutokana na wepesi wa Ratiba.

M4C- Movement For Change. Mimi For Chadema.
 
Shukurani wakuu wote tutegemee habari njema kabla ya mwisho wa week hii.
 
Pamoja sana wakuu wote mnaounga mkono kumbuka hii m4c hata ukiwa ccm unaweza changia kwenye mabadiliko najua wengi wana ccm wanapenda kuchangia sema wanaogopa tu.jitokezeni kuchangia vuguvugu la mabadiliko.
 
Fred

Hongera kwa wazo zuri, ingawa bado linahitaji maboresho ya hapa na pale, but generally hongera sana kwa kutimiza wajibu wako kwa kuhakikisha CHADEMA na mapambano kwa ujumla yanatimiza lengo la kutoa utumishi bora kwa umma, lengo ambalo ili litimie, historia ya nchi hii inapaswa kuongezwa kurasa kadhaa zitakazosema kuwa CCM kiliwahi kutawala mwaka fulani mpaka mwaka fulani...

Kutokana na majukumu kadhaa yaliyonibana kwelikweli sikuwahi ku comment mapema ingawa niliona kilichoandikwa mapema sana na kufuatilia mjadala baadae kwa kina. Kwa ajili ya kuangalia tunasonga namna gani mbele, hasa kwa ku-incorporate wazo hili katika plans zinazofanana na hiki kitu ili sasa viwe under same umbrella kwa ajili ya efficiency na effectiveness, nitaku PM wewe na wengine ambao nimefuatilia mchango wao hata kama ni kwa kuweka alama ya 'like', hata wale waliopinga au kuponda pia.

Lakini pia ili kurahisisha mambo, fanya hivi 0688 595831, hata kama ni usiku wa manane.

Tutalizungusha hili gurudumu na kulifikisha tunakofikiria na kuona kwenye ndoto zetu mchana na usiku, iwapo tu kila mmoja wetu atatimiza wajibu wake kama ulivyofanya Kamanda Fred na kama wanavyofanya wengine kwa namna mbalimbali, ikiwemo critiques and constructive criticism.

Kila mmoja wetu anacho cha kuchangia katika mapambano haya na mchango wa kila mmoja wetu utathminiwa kadri inavyotakiwa, kama si leo basi kesho au keshokutwa kwenye kurasa za historia ambayo inaendelea kuandikwa kila kila sekunde inayopita. Baadae nitaweza kujadili kwa kina baadhi ya mambo ambayo si lazima sana kupelekeana PM.

Mkuu karibu sana tutaomba tuapate muongozo wa jinsi ya kufanya hii kitu.
 
Back
Top Bottom