Matembezi ya amani kutunisha mfuko wa M4C

nipo tayari kushiliki na naahidi kuchanga 20000,na niakuwa tayari kuhamasisha watu wa temeke,.
 
Hakuna haja ya Invisible, kutag members wa JF kwa masuala ya Chadema, JF sio mali ya Chadema fanyeni hiyo kazi nyie Pro-Chadema JF.

Naona mkuu Ritz umeamua kumsaidia Invisible kujibu baadhi ya mapendekezo anayoombwa kuyafanya!

Sijui ni msukumo wa upendo au woga ndo umekutuma kuingilia majukum yasiyokua ya kwako!!
Binafsi nadhani ni woga.
 
Last edited by a moderator:
Shukurani wakuu tumefika watu zaidi ya 10 sasa endeleni kuhamasisha wengine tungefurahi kupata majina na no za simu iwe rahisi kukutafuta
 
Dogo unamawazo mazuri sana nimeyapenda nipo tayari pamoja, natoa wazo sisi wanachama wa CDM tuliopo hapa Dar tukutane siku moja mahali tupange hii kitu tunaweza kumualika kiongozi wa juu wa chama akatupa miongozo na taratibu nini chakufanya napendekeza siku ya uhuru tarehe 9 tukutane mahali ambapo itakuwa raisi kwa wanachama kufuka na kuratibu jambo hili au mnasemaje wadau.
 
kjana una umri mdogo ila mawazo yako ni mazuri,hata mimi nilifiliria cdm tungekuwa na vyombo vya habari ingekuwa rahisi zaid kwa chama kujulikana hasa ikiwa na uwezo wa kurusha matangazo hadi vijijini ambako wengi wao pengne sio rahis kuktambua chama na ndo chanzo pekee cha kupata habari kwan ndio wanamudu kununua kuliko tv na magazeti. pia hlo likifanikiwa uwepo mpango wa kuanzisha kituo cha television ili magamba wawe na nafasi ya kujionea madudu yao.

Oh yes! Huyu Bwana mdogo nimemkubali. Hiki ni kizazi kipya na mawazo mapya. Halafu linakuja lile libabu "Le.Mavi" linaanza kumwaga shudu kama lilivyomwaga kule kwenye uzi wa dada Esther Wasira likidai eti ni mtoto. Yupi afadhali? Mzee, mtu mzima juha na mpumbavu au mtoto mdogo anyonyaye bali mwenye busara?
 
Dogo unamawazo mazuri sana nimeyapenda nipo tayari pamoja, natoa wazo sisi wanachama wa CDM tuliopo hapa Dar tukutane siku moja mahali tupange hii kitu tunaweza kumualika kiongozi wa juu wa chama akatupa miongozo na taratibu nini chakufanya napendekeza siku ya uhuru tarehe 9 tukutane mahali ambapo itakuwa raisi kwa wanachama kufuka na kuratibu jambo hili au mnasemaje wadau.

Nasshukuru sana litakua jambo jema
 
Nasema kama tunaweza pata watu 500 humu jamii forum itakua jambo jema sana tukipeleka huu ujumbe kwa kila mtu majirani ndugu zetu na kwenye social media hili jambo litafanikiwa kwa zaidi ya lengo.
 
Aika monoko!
 
Wale ambao tayari wameonyesha nia ni vema ukaweka listi yao juu kabisa kwenye post yako.
 
Wazo zuri kijana mwenzangu,mimi napenda niongezee kidogo.Kwa kuwa harambee itafanyika dar basi kutengenezwe utaratibu ambao wapenz,wafuasi na makamanda wa mikoani kuweza kuchangia harambee hiyo,mimi niko chuo Moshi naahidi kuchangia 20,000 kama utaratibu utakuwa mzuri kwa watu wa mikoani,(CHANGES CANNOT COME OVER NIGHT,CHANGES IS A PROCESS THAT MAY TAKE MORE THAN A DECADE WHEN DEVOTERS ARE COOLING DOWN WHILE THE FLOOR IS WARM,in the process of making changes some people will be costed in all aspects since social,political and economical so as the remainers can survive upon it, I AM THE ONE DEVOTING,WHAT ABOUT YOU?
 
Tunashukuru mkuu jina lako tunaliongezea pale usisahau no yako ya simu
 
Back
Top Bottom