Jerry Ekky
JF-Expert Member
- May 6, 2018
- 1,683
- 5,244
Picha hii ina akisi uhalisia mkuu?
Picha hii ina akisi uhalisia mkuu?
Ina tafsiri zaidi ya kumi ambazo kila moja unaweza kuiandikia mada kamili
Mkuu, riddles & puzzles nimesha sahau kwa kuwa nishazeeka sasa. Hebu fanya utaratibu ili utulishe chakula mwanana cha ubongo tafadhaliIna tafsiri zaidi ya kumi ambazo kila moja unaweza kuiandikia mada kamili
Kama hujaoa nakushauri uoe mkuu, na kama umeoa tayari bhac nakushauri uongeze mke wa pili na idadi ya watoto yawezekana hapo ndio utaona mafanikio unayoyatafuta kila sikuDah...Mwaka mzima naingiza Ila hamna nilichokifanya...!Wengine wananiambia sababu ya gambe!...Nikitafakari hata kama starehe zenyewe sifanyi kivileeeee....Dah...Mungu anisaidie 2020 nifanye maajabu
Kama hujaoa nakushauri uoe mkuu, na kama umeoa tayari bhac nakushauri uongeze mke wa pili na idadi ya watoto yawezekana hapo ndio utaona mafanikio unayoyatafuta kila siku
Wakat mwingine mtu ubarikiwa sababu ya kuwahudumia wengine; Yawezekana mtu akawa anaishi peke yake na riziki yake ikawa ndogo ila wanao mtegemea wakiongezeka na riziki pia huongezeka[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji44][emoji116][emoji116]
Jr[emoji769]
MafunzoniMshana Jr hizi Siri unapata wapi? Kweli Binadamu anabidi kuwa na ziada.
Kaka fanya ufungue YouTube channel uwe unatoa darasa ili usaidie kuokoa baadhi ya nafsi zetu zisizo na dira, lakini wakati tutakuwa tunaelimika wewe uwe unaongeza maokoto. Au basi ufanye hata podcast mkuu kama YouTube ni ngumu kwako
[emoji1545][emoji419][emoji375]Kaka fanya ufungue YouTube channel uwe unatoa darasa ili usaidie kuokoa baadhi ya nafsi zetu zisizo na dira, lakini wakati tutakuwa tunaelimika wewe uwe unaongeza maokoto. Au basi ufanye hata podcast mkuu kama YouTube ni ngumu kwako