Sasa kwa hali hii kuna kutoboa mkeo ndani anakuwinda. Jamaa na marafiki wanakuwinda kwa picha zako. ni hatari sana aiseeNi vema kuyajua ili upate ufahamu wa kupambana nayo
Inabidi kujipanga nasi pande zote kama daudi bashite kwa Mungu sana na waganga sana 😢 😞 vile vile tuone itakuwaje maana hata waganga kawaumba MunguNi vita pande nane na vyote vinakuhusu😂