Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,720
Unajua wenzetu Wasomali huwa wanawashepu watoto wao wakiwa wadogo hii niliwahi kushuhudia hasa miguuni ni mafuta kila siku asubuhi mtoto anakandwa nayo.
Dah...!kama nacheza mpira jaman
Unajua wenzetu Wasomali huwa wanawashepu watoto wao wakiwa wadogo hii niliwahi kushuhudia hasa miguuni ni mafuta kila siku asubuhi mtoto anakandwa nayo.
Na wew best miguu yako ipo kama yangu.Dah...!kama nacheza mpira jaman
Sema mwenzio kinacho niokoa ni mpenzi wa kuvaa nguo ndefu 😄😄😄😄Dah...!kama nacheza mpira jaman
Sema mwenzio kinacho niokoa ni mpenzi wa kuvaa nguo ndefu 😄😄😄😄
Ungeweka picha ingependeza sana manake mimi binafsi hayo matege ya kurudi ndani ndiyo nayasikia hapa.
😂😂😂😂😂😂kuna ya nje na ya ndani..ya ndani ukisimama mpira ukapigwa inakuwa tobo..
Nilikuwa nimechoka nikipita mtaani watoto wanashangilia matege, matege nikaona isiwe kesi.🤔🤔🤔🤔🤔 ww umejiongeza..!duh...nnazo za kuhesabu
Nilikuwa nimechoka nikipita mtaani watoto wanashangilia matege, matege nikaona isiwe kesi.
Labda wamekosa lishe ...kama style iyo ndo inawafanya wawe na tege basi kuna watu wangekua walemavu miguu imepinda kabsa
am better here
😄😄😄😄Hivi matege ni upungufu wa madini gani mwilini😂😂😂😂😂😂😂 basi ww kiboko hahahaha...!uwiii aisee... nikivaa heels mm halionekani nivae sandle pyeeeee
Wenye matege yenu mkuje huku sasa!
Leo kila mtu miguu yake imenyooka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sema kweli jamanii....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nna tege jaman...duh...kaptura sivai kbs
Humu siwezi mkuu
Unajua wenzetu Wasomali huwa wanawashepu watoto wao wakiwa wadogo hii niliwahi kushuhudia hasa miguuni ni mafuta kila siku asubuhi mtoto anakandwa nayo.
Hapana me popo kanyea mbinguUnatumia sana mbuz kagomaee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sema kweli jamanii....
naskia ya chuma😀😀😀😄😄😄😄Hivi matege ni upungufu wa madini gani mwilini
Dahh! Itakuwa unakosa sana raha maana ndio style yangu ya kuwakojoza wadadaHalafu kama masihara vile katika harakati za kuweka swagger za kupiga picha nimejikuta ninayo hayo matege [emoji2][emoji23]
Style ya mbuzi kagoma kwenda sijawahi kuitumia
lKukojoza na.tege kuna uhusiano?mada hapa ni matege mkuu...muda wa promo sio huuDahh! Itakuwa unakosa sana raha maana ndio style yangu ya kuwakojoza wadada
Sent using Jamii Forums mobile app