Matege ya kurudi ndani yanasababishwa na nini?

Matege ya kurudi ndani yanasababishwa na nini?

KAKA NASOKI

Senior Member
Joined
May 25, 2016
Posts
191
Reaction score
212
Kwanini matege ya krudi ndani yameongezeka sana kwa kina dada au macho yangu? je kunasababishwa na style wa mbuzi kagoma kwenda?
 
Labda wamekosa lishe ...kama style iyo ndo inawafanya wawe na tege basi kuna watu wangekua walemavu miguu imepinda kabsa

am better here
 
[emoji2955]
IMG_20190327_063513.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
haaaa yawezekana kama unapiga mbuzi kagma kwenda halafu demu mrefu mwanaume mfupi lazima ulazimishe tege wa muda ili muwe sawa kiurefu
 
Halafu kama masihara vile katika harakati za kuweka swagger za kupiga picha nimejikuta ninayo hayo matege 😃😂

Style ya mbuzi kagoma kwenda sijawahi kuitumia
 
Halafu kama masihara vile katika harakati za kuweka swagger za kupiga picha nimejikuta ninayo hayo matege [emoji2][emoji23]

Style ya mbuzi kagoma kwenda sijawahi kuitumia
death of cocroach umewah kuitumia?

thanks to god the almighty
 
Back
Top Bottom