Matege ya kurudi ndani yanasababishwa na nini?

Matege ya kurudi ndani yanasababishwa na nini?

Huwezi kukosa ajira, matege yanalipa, asikuambie mtu!!
Hahahaha hata sijui chanzo nashangaa niko nayo ila nashukuru kwenye mpira niko vizuri kwa kweli najivunia kuwa nayo yamenipa ajira [emoji1][emoji1][emoji1]

kutoka: 22D Arnold st.
 
hahaba hii kubwa kuliko..ila nashangaa mm nikivaa heels yanadisapear kbs..naonekana miguu mizurii sasa nishuke chini😂😂
Unajua wenzetu Wasomali huwa wanawashepu watoto wao wakiwa wadogo hii niliwahi kushuhudia hasa miguuni ni mafuta kila siku asubuhi mtoto anakandwa nayo.
 
Back
Top Bottom