Huwa mara nyingi najiuliza na pengine wapo ambao watakuwa na swali kama langu, kwa wale waliooa, inapokuja kwenye suala la kushiriki mapenzi na hata kitendo cha kubusiana huwa mke na mume wanashirikiana hata kushare mate na wala hakuna anayeena vibaya au kichefuchefu, lakini je iwapo mkeo au mumeo akiamua kutema mate kwenye kikombe au kijuko na kukwambia uyalambe, sidhani kama kuna mtu atakubali kufanya hivyo wakati mate ni yaleyale, sijui wengine mnaonaje?
Ah hebu nkimbie nsije kutapika bure....ππ
mmmmmh!!
ila yakiwa mdomoni hujiskii kutapika, lol
Ntapike nini na yanakua matamu na moto moto lol....ππππππππ
Hata mate yako mwenyewe ukiyatemea kwenye kikombe huwezi kuyanywa sembuse ya mtu mwingine?