Matawi Ya CRDB Kufungwa Kwa Siku Tatu Nchi Nzima

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,615
Reaction score
40,163
Benki ya CRDB imetangaza kufunga huduma katika matawi yake yote kwa siku tatu kuanzia Septemba 5 hadi 7 mwaka huu.

Kufungwa kwa matawi hayo kunalenga kutoa nafasi kwa wataalamu kufanya maboresho na kuweka mifumo ya kisasa ili kuongeza ufanisi huduma zinazotolewa.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na benki hiyo kwa umma, ndani ya kipindi husika, huduma zote za benki hazitapatikana kwa namna tofauti ambapo Ijumaa ya kuamkia Septemba 5, 2025 watu hawatakuwa na uwezo wa kupata huduma kwa saa mbili.

Pia, wateja hawatakuwa na uwezo wa kupata huduma usiku wa kuamkia Ijumaa kuanzia saa 6:00 usiku hadi saa 8:00 usiku.

Usiku wa kuamkia Jumapili ya Septemba 7, 2025, huduma zote hazitapatikana kwa saa sita kuanzia saa 6:00 usiku hadi saa 12:00 alfajiri.

Mbali na hilo, CRDB imesema huduma zitakazopatikana nje ya vipindi vya kusitishwa huduma ni ATM ambapo watu wataweza kutoa fedha na kuhamisha fedha.
1756898439106.png
 
Kwa ukubwa wa crdb wangeetafuta namna nyingine ila sio kusitisha huduma siku zote 3, wafanye hayo maboresho kwa masaa machache nyakati za usiku.
 
Toka nianze kupata huduma za kibenki leo hii ndio naona tangazo la ajabu la kusitishwa kwa huduma za benki ya CRDB kuanzia tarehe 5 hadi saba.

Kiuchumi hili sio swala dogo na pia Haileweki wanachokifanya ni kipi haswa kinachoweza kujustify usitishwaji wa huduma.

Je kwa kipindi hiki watakuwa wametengeneza faida au hasara ya kiasi gani?

B.O.T inayo taarifa ??
 
Benki ya CRDB imetangaza kufunga huduma katika matawi yake yote kwa siku tatu kuanzia Septemba 5 hadi 7 mwaka huu.

Kufungwa kwa matawi hayo kunalenga kutoa nafasi kwa wataalamu kufanya maboresho na kuweka mifumo ya kisasa ili kuongeza ufanisi huduma zinazotolewa.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na benki hiyo kwa umma, ndani ya kipindi husika, huduma zote za benki hazitapatikana kwa namna tofauti ambapo Ijumaa ya kuamkia Septemba 5, 2025 watu hawatakuwa na uwezo wa kupata huduma kwa saa mbili.

Pia, wateja hawatakuwa na uwezo wa kupata huduma usiku wa kuamkia Ijumaa kuanzia saa 6:00 usiku hadi saa 8:00 usiku.

Usiku wa kuamkia Jumapili ya Septemba 7, 2025, huduma zote hazitapatikana kwa saa sita kuanzia saa 6:00 usiku hadi saa 12:00 alfajiri.

Mbali na hilo, CRDB imesema huduma zitakazopatikana nje ya vipindi vya kusitishwa huduma ni ATM ambapo watu wataweza kutoa fedha na kuhamisha fedha.
View attachment 3463816
Kuna shida Gani huko?!!
 
Sawa boresheni huduma mahana wakati mwingine unawekewa ela message haiji na unatoa ela message haiji lakini pia ijumaa ni sikukuu na jumamosi ni nusu siku na jumapili sio siku ya kazi jumatatu mambo yawe safi
 
Mahana=Maana
Ela=Hela
 
Back
Top Bottom