Kikivunjika kioo hv vina replacement kweli? kuna mdogo wangu huko mtwara mwanae kashafanya yakekama umezoea smartphone yako ya laki 2 mwalimu ni ngumu sana kutumia na kukizoea kishkwambi.
ukikiona kwa nyuma unawezadhania ni kifaa cha maana sana,ukiisha kigeuza mbele ktk screen hata haya uliyoyaandika hapa hutashangaa kukutana nayo.
ni jambo gumu sana nchi hii kununua kitu bora kwa matumizi ya serikali ni kwenye magari tu[emoji38][emoji38]
Naunga mkono hojaSasa wamepewa Bure,waanze kuhoji kama Kwa nini fake,wao wanatumia vikifa basi
Kabla hawajaleta hivi vya "ZTE Blade X10S" yani hivi vya sensa walimu wakuu walikuwa wanatumia Samsung Galaxy Tab A10.1 (2016). Kwa kweli ukiachana na RAM na Storage, vishikwambi vya kwanza vilikuwa vizuri kushinda hivi vya sasa.kama umezoea smartphone yako ya laki 2 mwalimu ni ngumu sana kutumia na kukizoea kishkwambi.