Matatizo ya TV aina ya Singsung flati mbele na jinsi ya kutatua

Majanki

Member
Apr 9, 2014
34
12
Je? Wafahamu kama tv aina ya singsung flati mbele mara nyingi zinasumbua sana upande wa power na vertical
 
Si hilo tu, kuna homa zingine mfano hii yangu naangalia ikiwa ina mistari mitatu juu hadi chini, inatibika?.
 
Ndio inatibika,kiujumla hiyo mistar ni mapungufu ya vertical je,wewe nimtaalamu nikuelekeze jinsi ya kuitoa??
 
Kitu SAMSUNG bwana...

Hebu nidokeze kidogo kuhusu hii brand kuna baadhi ya vitu vinanichanganya:-

Nini tofauti ya hizi;-
(1) 3d smart led tv
(2) full hd led tv
(3) smart led tv

Nitashukuru sana kama utanipa mchanganuo pamoja na bei kwa kila aina yenye size ya 21"-32"
 
nnazo singsung flat led tv mbili na hazijawahi nisumbua hata kidogo..na nlizisafirisha umbali mrefu kwa basi..
 
kila siku tunalalamika na wachina lakini hamkomi. Unaponunua angalia brand km samsung,sony,lg,hitach
 
Hebu nidokeze kidogo kuhusu hii brand kuna baadhi ya vitu vinanichanganya:-

Nini tofauti ya hizi;-
(1) 3d smart led tv
(2) full hd led tv
(3) smart led tv

Nitashukuru sana kama utanipa mchanganuo pamoja na bei kwa kila aina yenye size ya 21"-32"
Mkuu hizo ni size za monitor za computer, jaribu angalau 42". Na tofauti kubwa kati ya hizo TV ni kwamba hiyo namba moja inauwezo wa kuonyesha picha katika 3D mode inakuja pamoja na 3D glasses. 3D smart led tv na smart led tv zina uwezo wa ku-connect online bila msaada wa online streaming devices, wakati hiyo namba mbili full hd led tv lazima utumie streaming device kucheza youtube au service zingine zinazopatikana online. Kwa ujumla Tv zote hizo ni FullHD!
 
Asante mkuu kwa ufafanuzi!

Ngoja nijipange kupata kati ya namba 1 au 2.
 
Kwenye output kuna diode imekaa kipekee kabisa pima volt,9 had volt, 12DC kama zinafika alafu tizama capacitor zote ambazo zinahusika na vertical pamoja na resistor ,ikishindikana jaribu badili Vertical IC.
 
Mnazungumzia sinsung labda copy ya mchina kakwepa brand name asikamatwe hiyo ni brand gani nijuavyo mimi ni samsung ukisema smart led with 3d ni kama simu yako ya smart unapata kila kitu ina wifi zipo mjini na bei yake kwa sasa inategemea series ipi iliyo latest ni 7 and 8. Tofauti ni 7 ni 800 h na 8 ni 1000 sijui kama umefahamu nje ya bongo 7series ni mil 4,600,400 sawa na us 2900 hiyo ni 55 in
 
Je? Wafahamu kama tv aina ya singsung flati mbele mara nyingi zinasumbua sana upande wa power na vertical

ndugu yangu msaada ya mjomba wangu ilianza na mstari mweusi chini taratibu umepanda na ghafla mwingine ukatokea juu hivyo umefanya tv kuonekana kwa wembamba whats it first aid maana kuibeba kutoka huku shamba is not a joke!
 
Back
Top Bottom