Heri ya mwaka mpya
Hii issue ya matatizo ya figo naiona kama imeongezeka sana mtaani baada ya ndugu yetu mmoja kuwa na hili tatizo...tulivyoaanza kwenda clinic ya kutoa maji imenistua kuona wagonjwa wengine vijana kabisa. Mawazo yenu wadau na watalaam chanzo nini hasa maana vijana wengi wanapiga mazoezi sana. Kuna daktari mmoja alinieleza tubadili mfumo wa kula kwa maana kama unakula wanga akadai tule mwisho saa saba mchana na usiku wa saa moja kamili tule vyakula vyepesi.
Tunashukuru Mungu mkapa hospital-dodoma wametusaidia. Tunaishukuru serikali kwa kuiweka hii hospital na kuwawezesha hawa madaktari bingwa maana hela ya kumpeleka india kubadili ilikuwa mtihani lakini Dodoma wanaweza na wamefanya kumbadilishia.
Naomba kuwakilisha