Matata bado meya halali wa manispaa ya Ilemela

kwani matata akifukuzwa udiwani si jambo jema kwa ccm mana watachukua kata sasa mbona kama hawependi atoke madarakani kuna nini apo jamani...?
 
mkuu kama unavofaham mapungufu na changamoto zinazozikabili mahakama zetu ikiwemo ucheleweshaji wa kesi,na pia kumbuka alifungua kesi mbili,,mahakama ya mkoa na mahakama kuu,,hvo kwa kuwa bado anayokesi ya mzingi mahakama kuu anayopinga kuvuliwa uwanachama(wa chadema)hvo anaendelea kuwa diwani na meya mpaka pale kesi itakapoamliwa
 
matata adabu itarudi tu kama wale wa arusha chandema wala msiwe na wasiwasi mwanza haina watu wajinga inwatu wenye uelewa wanajua upi ni ujinga na upi ni ukweli. Matata ameshajimaliza kisiasa atakuwa mweupe kabisa
 
kesi zote mbili alizokuwa amezifungua ni dhidi ya baraza la wadhamini Chadema akipinga kuvuliwa uwanachama...sasa aluyoifuta ni ile aliyoifungua mahakama ya mkoa,huku akiwa amebaki na kesi moja ya msingi mahakama kuu.
 
kesi ya msingi ya matata na chagulani iko mahakama kuu kanda ya mwanza ni kesi numba 13 ya mwaka 2012(civil miscleneuos cause)kesi itatajwa tena tar.04/04/2013...
 
siunajua wote wanaakili za baba colin babu s ndiomaana wanakurupuka kipofi haoni kibao kilichoandikwa hatari mpaka umshike mkono dawayao kuwashika mikona na kuwapa kadi kama babu padiri hiyo kadi alikabiziwa na jk nyerere aicc simba grl yeye na kikwete sindo maana anaiifadhi

yote ni ubatili mtupu.kama yeye anajiamini anapendwa na wananchi aondoke CDM akagombee udiwani kwa tiketi ya magamba tuone kama atapata. yule ni msaliti wa demokrasia ya kweli.
 
CCM na wote wanaoshadadia upuuzi huu wanaitakia nini nchi hii! Watoto wetu wanajifunza nini kupitia upuuzi huu!? Chama tawala kinatuonyesha picha gani wananchi wa Mwanza? Upuuzi huu ni kwa manufaa gani na kwa nani? Matata kwa upuuzi huu tumweke kwenye kundi gani huyu? Wanaosimama na kushangilia uhuni huu wanapewa nini hawa? Ni njaa na umasikini wetu umetufikisha hapa? Tuacheni ushabiki wa kipuuzi tuweke utaifa mbele.
 
Duh moyo wangu umevunjika mimi nilikuwa mmoja wa wale waliofurahi sina la kusema naomba basi mungu amtende kitu kama kupofuka macho,kupata kiarusi,kansa ya ubongo nakadharika manake kidunia amewekwa na wajanja

Hivi anajisikiaje mpaka wananchi wanafurahia anguko lake inaelekea roho yake yakijambazi haijali

Tatizo la wananchama + washabiki wa cdm masuala ya kisheria yamewaendea alijojo (hamyajui)
 
CCM na wote wanaoshadadia upuuzi huu wanaitakia nini nchi hii! Watoto wetu wanajifunza nini kupitia upuuzi huu!? Chama tawala kinatuonyesha picha gani wananchi wa Mwanza? Upuuzi huu ni kwa manufaa gani na kwa nani? Matata kwa upuuzi huu tumweke kwenye kundi gani huyu? Wanaosimama na kushangilia uhuni huu wanapewa nini hawa? Ni njaa na umasikini wetu umetufikisha hapa? Tuacheni ushabiki wa kipuuzi tuweke utaifa mbele.

Povu lakutoka bure aisee na hujui ulisemalo, CCM kwenye hili wanahusika nn ? haya ni masuala ya kisheria na mahakama, km hamjui sheria msisingizie ccm
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom