Matarajio. . . . .

Siku nikikuvimbisha kichwa uwe na hakika nikigundua hilo nitakirudisha kwenye hali yake ya unyenyekevu.....!

I will like it,no doubts....Sweet dreams dearest, ngoja nipumzike....!

Hhehehe hutaki niwe jeuri?

Night night dearest. . . sweet dreams.
 
Siku nikikuvimbisha kichwa uwe na hakika nikigundua hilo nitakirudisha kwenye hali yake ya unyenyekevu.....!

I will like it,no doubts....Sweet dreams dearest, ngoja nipumzike....!
Uwe unaniaga na mimi basi, nitachange mind ujue? ohoooo!
 
Kuwa na matarajio yaliyokaa kiuhalisia ili kupunguza kama sio kuepuka kabisa disappointment.

hili kamwe haliwezekani kwa sababu kizazi hiki ni kiovu na busara hakiwezi kuwa nazo.......................for better or for worse..............you only hear those motivational words at the pulpit only..........
 
Haya ukija wasichana wa mjini,wengi wanasoma,wanafanya kazi,biashara, na wanauelewa na hali halisi inavyobadilika kila siku ya kiuchumi as wanajitegemea kabla ya ndoa....iweje nao wawe kwenye asilimia 1 wote hao,haiwezekani kabisa....usitu-underestimate kiasi hicho....wanawake wanauelewa wa uhalisia wa maisha ya ndoa kuliko hata wanaume na waga wako tayari kukabiliana na changamoto na ndo maana sisi ndo tunapigana kufa kupona kulinda ndoa zetu.

maangalizi ni matamu lakini ukweli ni kuwa 99% ya material gals I have physically encountered they town gals............
 
Hawa sasa ndio wale tunawaita vichwa panzi, wanafanya wanayoona wengine wanafanya au wanayosukumwa kufanya, matokeo yake leo na kesho maisha na mahusiano yake yanakosa muelekeo unaoeleweka.

@Dearest kweli Boss kachakachua matokeo. Ila kuna wasomi waliopita madarasa tu bila kuelimika, matarajio yao sio madogo.

I wish dada zetu wangeelewa kwamba ridhiki ya mtu inakuja hailazimishwi....Ingekuwa inalazimishwa...Ungekuta Michelle Obama sio first lady...but she stuck with her man through thin...way back jamaa akiwa community organizer....najua Nyani Ngabu anakuja kuniua...but I hope nime drive point.
 
Nakubaliana na wewe kwamba unapokuwa na matarajio ya kiuhalisia basi uwezekano wa kumudu kuwa na uhusiano mzuri na wenye kuhimili mikikimikiki ya maisha ni mkubwa, zaidi ya hayo ni vizuri kujishughulisha kwenye maisha na kuacha utegemezi...itapunguza dissapointments kwenye mahusiano....na kuacha utegemezi nikimaanisha kuanzia ule wa kuamini bila fulani mis sina raha au maisha hadi ule utegemezi wa kifedha....!!

Michele unachosahau ni kuwa mkishaoana mekuwa mwili mmoja.............kwa hiyo hakuna yupi anamtegemea mwenzie...............si sawasawa kwa mkono wa kulia kulalamika ya kuwa mkono wa kushoto unautegemea sana..............you are one flesh and not two in one anymore..........
 
mimi kuna kitu ambacho wanawake wanacho ambacho kinanifanya
niwe pessimistic na wanawake saana

naacho ni kuwa 'emotional....na maamuzi'

hasa 'revenge tendencies'

na kutaka 'ku replace their bad feelings so fast' kiasi

akiwepo mtu pembeni wa ku 'trigger tu' hizo feelings baasi.....

THAT is a BULL'EYE.............ndivyo walivyo.......................kwa kutafuta shortcuts ndiyo wenyewe..........
 
In addition...Tanzania ya sasa tumeanza kuwa Microwave society....tunakuwa na expectations za ajabu za juu. Leo mtu anakutana na mwingine mara kesho kutambulishwa...mara kesho kutwa tufanye biashara..mara hivi...mara twende hapa...SLOW DOWN folks...Na tatizo jingine wanaume nao ni WAONGO kupita kiasi....wanatongoza kwa kudanganya...wanajenga unrealistic exceptions....Yes..ladies wanapenda kuambiwa mambo matam matam but kama umemzimikia mama yeyo mwambie ukweli kwamba....gari unayoendesha sio ya kwako ni loan..the truth shall set you free. Tatizo ujana mwingi na utozi mwingi....I was there back then and I am glad I graduated from all that.
 
hili kamwe haliwezekani kwa sababu kizazi hiki ni kiovu na busara hakiwezi kuwa nazo.......................for better or for worse..............you only hear those motivational words at the pulpit only..........

Try to make a point without making sweeping statements. Maovu yalikuwepo toka enzi na enzi, sio kama yameanza leo. Na kama busara zilikuwepo pamoja na hayo hata leo hii zipo, inawezekana wewe unaona huna au waliokuzunguka hawana ila sio ulimwengu mzima ulivyo. Angalia sana utakutana na wenye nazo .
 
I wish dada zetu wangeelewa kwamba ridhiki ya mtu inakuja hailazimishwi....Ingekuwa inalazimishwa...Ungekuta Michelle Obama sio first lady...but she stuck with her man through thin...way back jamaa akiwa community organizer....najua Nyani Ngabu anakuja kuniua...but I hope nime drive point.

Atakusamehe kwa leo. . Lol

Kweli kabisa, sema tatizo ni pale anapotaka amkute mwenzake ameshajijenga vya kutosha yeye awe mlaji tu. Asilimia kubwa haiko tayari kuhangaika/pambana na wenzi wao ili wafikie mafanikio wanayotaka pamoja kama alivyofanya Mrs Obama.
 
Michele unachosahau ni kuwa mkishaoana mekuwa mwili mmoja.............kwa hiyo hakuna yupi anamtegemea mwenzie...............si sawasawa kwa mkono wa kulia kulalamika ya kuwa mkono wa kushoto unautegemea sana..............you are one flesh and not two in one anymore..........

Ruta huko ni kutegemeana sio mmoja kutegemea. Wanakua wamegawana majukumu. Mama anahakikisha maisha ya pale nyumbani ni mazuri kwa wote, anahakikisha kila mmoja kwenye familia yake anafurahi na baba anahakikisha pesa ipo.
 
Natamani wadada wa leo wangewaangalia mama zao na kuwauliza....Mom how far have you come with daddy? Mama zetu walivumilia shida..hawakuwa na magari, hawakuwa na taxy, hawakuwa na access na boda boda...yes..pia hawakuwa na Epidural...these ladies were TOUGH....na yet divorce rates zilikuwa chini mno kuliko siku hizi. Wamama wa leo....very SOFT...very demanding.
 
We are living in a different time, kinachotakiwa ni watu kuadapt as best as they can.
 
yaani kama ulikuwepo those unrealistic zipo kwa wengi juzi nimetoswa eti anataka niwe na msaidia jamaa nikatoka nduki bila kugeuka
 
Baada ya kuwa kujivinjari katika sekta ya mapenzi kwa takriban miaka 17, hakuna matarajio zaidi ya kudekezwa na kutoulizwa kama nampenda. That is to say I am no longer hold realistic expectations mapenzini. Nashukuru kwa aliyenichukulia kama nilivyo ingawa najua fika hawezi kunichukulia hivi as lon as we are together and alive.
 
Naamini kbs hizo Unrealistic expectations nyingi zinakuwa pasipo na upendo wa kweli,Umri mdogo akili inakuwa haijakomaa,tamaa,kuiga,malezi aliyopitia mtu,kampan na watu wanaomzunguka,na mazingira hasa huku mijini.
Hii inatokea mtu anangia kwenye mahusiano si kwa kupenda bali kufuata vitu flan au ili labda afanae na flan,au na familia yake,au aonekane kuwa ktk hali flan
Ishu inakuja pale vile alivovitarajia vinakosekana au hela inakata ndipo uhalisia unaanza kuonekana na watu kukimbiana,
Ila kwa mtu aliyepitia malezi yale ya ukweli ya kutoka kwenye shida na kuikuta raha baadae na akawa amepitia expiriens za maisha flan huyo mtu akaingia kwenye mahusiano anakua amepevuka vya kutosha,akiwa na uelewa wa maisha ni nn na yakoje,anajua anachokihitaji maishan,na anakua anafaham mafanikio ya maisha na mahusiano yanahitaji upendo,uvumilivu na ushirikiano kati ya wenza lzm ataingia humo akiwa na Realistic expectations na huwa mwisho wa siku wanafanikiwa kimaisha na kimahusiano.
 
yaani kama ulikuwepo those unrealistic zipo kwa wengi juzi nimetoswa eti anataka niwe na msaidia jamaa nikatoka nduki bila kugeuka

Hehehe. . . ulitakiwa kumsaidia nini?
 
Baada ya kuwa kujivinjari katika sekta ya mapenzi kwa takriban miaka 17, hakuna matarajio zaidi ya kudekezwa na kutoulizwa kama nampenda. That is to say I am no longer hold realistic expectations mapenzini. Nashukuru kwa aliyenichukulia kama nilivyo ingawa najua fika hawezi kunichukulia hivi as lon as we are together and alive.

Hongera FA.
Ila kama hutojali naomba kuuliza kwanini hutaki kuulizwa kama unampenda?
 
Naamini kbs hizo Unrealistic expectations nyingi zinakuwa pasipo na upendo wa kweli,Umri mdogo akili inakuwa haijakomaa,tamaa,kuiga,malezi aliyopitia mtu,kampan na watu wanaomzunguka,na mazingira hasa huku mijini.
Hii inatokea mtu anangia kwenye mahusiano si kwa kupenda bali kufuata vitu flan au ili labda afanae na flan,au na familia yake,au aonekane kuwa ktk hali flan
Ishu inakuja pale vile alivovitarajia vinakosekana au hela inakata ndipo uhalisia unaanza kuonekana na watu kukimbiana,
Ila kwa mtu aliyepitia malezi yale ya ukweli ya kutoka kwenye shida na kuikuta raha baadae na akawa amepitia expiriens za maisha flan huyo mtu akaingia kwenye mahusiano anakua amepevuka vya kutosha,akiwa na uelewa wa maisha ni nn na yakoje,anajua anachokihitaji maishan,na anakua anafaham mafanikio ya maisha na mahusiano yanahitaji upendo,uvumilivu na ushirikiano kati ya wenza lzm ataingia humo akiwa na Realistic expectations na huwa mwisho wa siku wanafanikiwa kimaisha na kimahusiano.

Canta wengi wa hawa watu wametoka kwenye maisha ya chini sana tu.
 
Back
Top Bottom