Matarajio ya Dawa ya Ukimwi: Ujumbe kwa wana JF

Tatizo sio kuajiriwa, ni kufanya kaz. Uwe umeajiriwa au hujaajiriwa. Fanya kaz...
inakuhusu nini sasa?
wengine hivi hapa navokwambia hapa yani ndo wako ''kazini''...!
we unadhani kazi mpaka uangalie mafaili?
 
hivi hii series ya 24 ilisha kwisha?
hahahah Nimependa Title ya hii Thread "Ujumbe kwa wana JF" naona kweli hapa watu wanapeana ujumbe yaani wameanza na Ukimwi, wamukuja Wachaga, wameingia kwenye mambo ya kuchati kazini na sasa naona Mkuu Teamo anatupeleka kwenye Li Series la 24:mad2:
 
mie hata kazi sifanyi nimerithishwa nyumba 4 na wazazi wangu moja iko Upanga nimepangisha wadhungu kazi yangu nikuingia net, kucheza pool na jioni ulabu pesa inaingia kila mwezi kama sina akili nzuri iga ufe

:shocked:.... Funza dume..
 
hahahah Nimependa Title ya hii Thread "Ujumbe kwa wana JF" naona kweli hapa watu wanapeana ujumbe yaani wameanza na Ukimwi, wamukuja Wachaga, wameingia kwenye mambo ya kuchati kazini na sasa naona Mkuu Teamo anatupeleka kwenye Li Series la 24:mad2:
umeona eeh!....
usimwambie mtu!
haya sasa niambie imeisha ile series?
 
Tatizo sio kuajiriwa, ni kufanya kaz. Uwe umeajiriwa au hujaajiriwa. Fanya kaz...
hahaha usiniletee zile za makamba kupiga marufuku watu kwenda bar mchana.....watu wakamuuliza na sie tunaoingia shift za usiku "tunywe" sa ngapi akawa hana jibu:crying: lol!
 
hahaha usiniletee zile za makamba kupiga marufuku watu kwenda bar mchana.....watu wakamuuliza na sie tunaoingia shift za usiku "tunywe" sa ngapi akawa hana jibu:crying: lol!
hehehehe!yani homubooi navokwambia hapa yani naenda kupiga pakiti za valuu ili nije na kasi mpya
 
Hakuna mwaminifu wote wanabanjua kwakificho kikubwa kuliko hata nyoka na paka wanavyokuwa wanavunja hiyo amri.Wakubaki nivichaa!!

Kaka Kiiza.. Vichaa hawafai kabisa, Wanaongoza kwenye hilo zoezi tena njenje na bila kinga yoyote Kiongozi.. Watakaopona, ni wale waaminifu kutoka moyoni,
 
kiongozi we naona unazeeka vibaya!....
ndo matatizo ya kuwa computer literate at your 40s!...

Kweli lakini, maana tupo tuliozaliwa BC na wengine wamezaliwa AC

BC= Before computers
AC= After computers
 
Kweli lakini, maana tupo tuliozaliwa BC na wengine wamezaliwa AC

BC= Before computers
AC= After computers
wewe naona computer na mitandao vinakutia wazimu sasa!maanake unaleta komandi za kizee hadi kwenye maisha binafsi ya mtu!we kama una hiyo pawa wakoromee sabodineti wako ofisini kwako sijui,au kawakoromee wanao na mkeo...

hapa ni JAMIIFORUMS....!WHERE WE DARE
 
Back
Top Bottom