Matarajio ya Dawa ya Ukimwi: Ujumbe kwa wana JF

Kuna wanaJF ni wahujumu uchumi. All the time wanachat humu... Hamna kaz huko maofisini? Au ndo unakuta wengine wameacha foleni nje inasubiri huduma wao wanachat:A S angry:. Ombeni Slaa asiwe raisi...
 
sasa Ramos, hapa unafanyaje precisely?:confused2:
 
Kuna wanaJF ni wahujumu uchumi. All the time wanachat humu... Hamna kaz huko maofisini? Au ndo unakuta wengine wameacha foleni nje inasubiri huduma wao wanachat:A S angry:. Ombeni Slaa asiwe raisi...
kwani we upo ofisini?
unafanya nini ofisini?
si tuko ulaya na amerika bana!
sasa hivi huku ni usiku!
angalia usifukuzwe kazi
 
Kwani UKIMWI unaambikizwa kwa ngono peke yake? Hivi hii karne ya ngapi wajameni?
hii ni karne ya ishirini na moja kwani vipi??? njia za maambukizi ya VVU
1. Ngono zembe 75%
2. Kuchangia vitu vya ncha kali e.g. vifaa vya kunyolea n.k. 15%
3. Kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto 10%
I said nimeshuhudia mapadre wamekufa kwa ngoma, sijasema walipata kwa njia flani upoooo......!!!! nasisitiza hakuna aliyekingiwa kupata VIRUSI VYA UKIMWI:nono::nono::nono::focus: mtu anajikinga mwenyewe as mtoa mada said.
 
Kuna wanaJF ni wahujumu uchumi. All the time wanachat humu... Hamna kaz huko maofisini? Au ndo unakuta wengine wameacha foleni nje inasubiri huduma wao wanachat:A S angry:. Ombeni Slaa asiwe raisi...

Na wewe unafanya nini humu? all the time unasoma post na chat zetu tu? na wewe ni fisadi vilevile.
 
Kuna wanaJF ni wahujumu uchumi. All the time wanachat humu... Hamna kaz huko maofisini? Au ndo unakuta wengine wameacha foleni nje inasubiri huduma wao wanachat:A S angry:. Ombeni Slaa asiwe raisi...
hahahaha tatizo unafikiri wote tumeajiriwa kama wewe......we endelea kukodolea:glasses-nerdy: macho post zetu uone mwajiri wako atakacho kufanya!! muda si muda utakuja kuomba ushauri hukuhuku!!:becky:
 
Nashangaa jinsi mnavyopoteza mda...
mie hata kazi sifanyi nimerithishwa nyumba 4 na wazazi wangu moja iko Upanga nimepangisha wadhungu kazi yangu nikuingia net, kucheza pool na jioni ulabu pesa inaingia kila mwezi kama sina akili nzuri iga ufe
 
hahahaha tatizo unafikiri wote tumeajiriwa kama wewe......we endelea kukodolea:glasses-nerdy: macho post zetu uone mwajiri wako atakacho kufanya!! muda si muda utakuja kuomba ushauri hukuhuku!!:becky:
Tatizo sio kuajiriwa, ni kufanya kaz. Uwe umeajiriwa au hujaajiriwa. Fanya kaz...
 
Back
Top Bottom