Matarajio ya Dawa ya Ukimwi: Ujumbe kwa wana JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matarajio ya Dawa ya Ukimwi: Ujumbe kwa wana JF

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by funzadume, Aug 12, 2010.

 1. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,505
  Likes Received: 2,100
  Trophy Points: 280
  Ndugu zangu wana JF na umma kwa ujumla tujiadhari na kujikinga na gonjwa ili la UKIMWI dawa iliyopatikana bado inafanyiwa uchunguzi kabla ya kuthibitishwa na WHO kuwa inatibu ili gonjwa. Kwa hiyo inaweza kupitishwa au kutopitishwa

  Usipojijali na kujikinga utawakosea wengi sana. MUNGU wako aliyekupa uhai ambao ukitoka haurudi, familia yako uliyoapa kuilinda na kuiendeleza, marafiki zako ambao watakumiss usipokuwepo, taaluma yako uliotumia muda mwingi na fedha nyingi kuipata na kwa UMMA wote unaotegemea huduma yako na uwepo wako katika kuliendeleza Taifa letu la TZ

  JIHADHALI NA UJIKINGE

  By Funzadume
   
 2. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Salama kondomu kama kweli unampenda utamlinda
  Tangazo hili limeletwa kwa hisani ya ........
   
 3. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  watu wa marekani
   
 4. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kuna option tatu,
  1. acha kabisa (kama mimi)
  2. kuwa na mpenzi mmoja
  3. Tumia kondom

  chagua inayokufaa kati ya hizo
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Kama uwezi kutumia kondom acha!tulia nawako!!Tangazo ili nikwamsaada wa walipa kodi wa J.............:confused2:
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Asante sana FD kwani kuna watu wamenza Ngono zembe wakidhani dawa imepetikana??
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,110
  Likes Received: 24,160
  Trophy Points: 280
  Kabla ya kuacha ulipima?
  Uliwaacha wangapi?
  Kwanini uliacha?
  Unamalizaje hamu yako ya kibaiolojia?

  Danganya toto dogo kula kande mbichi!
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,110
  Likes Received: 24,160
  Trophy Points: 280
  Hivi haijapatikana kumbe? Imekula kwangu, ole wangu!
   
 9. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,505
  Likes Received: 2,100
  Trophy Points: 280
  nasikia mauzo ya condom yameshuka sana watu wameanza kula jino kwa jino
   
 10. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,505
  Likes Received: 2,100
  Trophy Points: 280
  namba 3 ndio imekaa vizuri hiyo namba 2 bora ingefutwa maana mtu unaweza ukaamini una mmoja kumbe mwenzio anatoka nje maana binadamu achungiki na huwezi kuisemea nafsi ya mwenzio
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,110
  Likes Received: 24,160
  Trophy Points: 280
  Yeah! Kama mimi waifu anaamini yuko peke yake. Laiti angejua namtafunia rafiki yake tena wanafanya kazi ofisi moja....... Hapo sijaweka kina Elizaz kadhaa.......
   
 12. JS

  JS JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Asante Funzadume kwa kutukumbusha. Ubarikiwe
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,110
  Likes Received: 24,160
  Trophy Points: 280
  Wewe umeacha?
  Una mpenzi mmoja?
  Au unatumia kondomu?
   
 14. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #14
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  La sivyo wale waaminifu tu ndio watakaobaki Duniani.
   
 15. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nilipima mara kumi nikajikuta nipo fit,

  niliwaacha sita

  niliacha baada ya kuona ukimwi hauna dawa,

  kwa sasa sina hamu kabisa, napenda sana kaufanya mazoezi, kujichanganya na mashosti maisha yanakwenda au sio
   
 16. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #16
  Aug 12, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Hakuna mwaminifu wote wanabanjua kwakificho kikubwa kuliko hata nyoka na paka wanavyokuwa wanavunja hiyo amri.Wakubaki nivichaa!!
   
 17. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #17
  Aug 12, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  :nono::nono::nono::nono::tape::lying:
   
 18. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #18
  Aug 12, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280

  heheheh JS ulikuwa UMESAHAU Ina maana?:confused2:
   
 19. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #19
  Aug 12, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Heri yao watawa/masista na mapadre maana wamekingiwa gonjwa hilo.........
   
 20. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #20
  Aug 12, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hujambo dear,nina shida na wewe.Ngoja nikutafute PM tutete.
   
Loading...