Matapeli watawaibia sana wasiojitambua

Matapeli watawaibia sana wasiojitambua

Hii sms imetumwa kwangu na mtu nisiyemfahamu akinielezea jambo nisilolifahamu au hata kuwahi kuzungumzia.


''SHEMEJI LEO NIMEFANIKIWA KUPATA NAMBA ZA MGANGA WA JADI ALIYE NISAIDIA KTK BIASHARA ZANGU NA KURUDISHWA KAZINI NAMBA ZAKE NI 0752949132 MPIGIE ATAKUSAIDIA''
Mi nikitumiwa huwa nawatukana.
 
Hii sms imetumwa kwangu na mtu nisiyemfahamu akinielezea jambo nisilolifahamu au hata kuwahi kuzungumzia.


''SHEMEJI LEO NIMEFANIKIWA KUPATA NAMBA ZA MGANGA WA JADI ALIYE NISAIDIA KTK BIASHARA ZANGU NA KURUDISHWA KAZINI NAMBA ZAKE NI 0752949132 MPIGIE ATAKUSAIDIA''
Mi niliatumiwa kama dizan hyo kisha wakaniambia niwajibu zawad gani nataka kwa msaada wao,nikadelete maana nilistukia
 
Hata mimi nishatumiwa sana, hivi wanadhani kuna mtu ata fall for that obvious crap?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom