Matapeli walioitikisha tanzania

Matapeli walioitikisha tanzania

darasa7

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
395
Reaction score
61
Mzee mandondo miaka ya 1980.aliwavesha wananchi na viongozi ilizi wajikinge na wachawi akupiga hela ya ukweli akapotea
Babu wa loliondo 2012,kawanyesha viongozi wa chama ,serikali na wananchi maji ya kuchemsha wakizani ni dawa ya ukwimwi,akabiga hela ya maana kajenga mjengo wa maana na VX anayo
NITAJIE WENGINE UNAOWAFAHAMU?
 
halafu hii ilikuwaje kuwa wanatembelea mashule ya msingi na kuwafanyia kiini macho wanafunzi?? Lengo lilikuwa nini haswa?

Awa awakupiga za ukweli.sizani kama hata walinunua pikipiki!!!!!!?
 
Batenga, huyu alitapeli matofali ya baba wa taifa pale nyumbani kwake msasani
 
uliza kuhusu Bijampola uelezwe
utapeli mkubwa mno kwa idadi ya watu Tanzania kabla ya DECI
 
Mawaziri Karibu Wote Tanzania ( Ndiyo Wanaoitikisha Tanzania ) Ukiondoa tu Wapambanaji Wawili Dk. John Pombe Magufuli na Dk. Harrison Mwakyembe na Kinachonifurahisha pia Kwa Hawa ni Kwamba Doctorates Zao Wamezisomea Darasani na Kuzihangaikia na Zimewasaidia na Wanazitumia Vizuri ila Wengi Wao Phd's Zao ni Za Kirafiki tu na Za Kupewa au Za Kuhonga na Ndiyo Kikwazo Kikubwa Kwa Maendeleo Ya Nchi Yetu Tanzania.
 
kuna jamaa anajiita Profesa Majimarefu,booonge la tapeli,alimtapeli gari mbunge mwenzake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom