Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 4,912
- 12,988
Hawa jamaa kila siku wanabuni mbinu mpya
Sema hawatumii kabisa akili sio wanatumia akili ndogoIla TZ Kuna matapeli ambao wanatumia akili mdogo sana..😅
Matapeli wavivu hata kuandika huwa hawajuiIla TZ Kuna matapeli ambao wanatumia akili mdogo sana..😅
Labda mawakala wa AzamHawa jamaa kila siku wanabuni mbinu mpyaView attachment 2793571
nimecheka shida nini alitumiwa message kama hiyo au ??Kijana wangu leo asubuhi asubuhi kapigwa 10k chaap ya fasta dah
Hakuna hao ni matapeli hapo ukifanya kumtafuta atakwambia lipia kiasi fulani ili ndugu yako apate kaziLabda mawakala wa Azam
Sio wanajifanya..ni kweli hawajui! Hakuna watu smart kwenye huo utapeli, ndiyo maana hata mbinu zao za kitoto!Hivi kwa Nini matapeli wa mitandaoni wanajifanyaga hawajui kuandika? Wengi hawajuagi kutofautisha R na L, na H na A.
Elimu ya kinigeria ndiyo yenye nguvu kwenye utapeliSio wanajifanya..ni kweli hawajui! Hakuna watu smart kwenye huo utapeli, ndiyo maana hata mbinu zao za kitoto!
Hapo anakuingiza kwenye laini kama unashida kweli na ukasema umtafute basi umeishaNa kweli mtu nae unatapeliwa kwa msg hii??
Ilikuwaje?Kijana wangu leo asubuhi asubuhi kapigwa 10k chaap ya fasta dah
Ilikuwaje?Kijana wangu leo asubuhi asubuhi kapigwa 10k chaap ya fasta dah