...Amepigwaje ? Tushitue...Kijana wangu leo asubuhi asubuhi kapigwa 10k chaap ya fasta dah
Kizembe hivi unatapeliwa kweli?Hawa jamaa kila siku wanabuni mbinu mpyaView attachment 2793571
Jamaa kapiga simu anataka bidhaa afanyiwe delivery...Amepigwaje ? Tushitue...
Jamaa kapiga simu anataka bidhaa afanyiwe deliveryIlikuwaje?
Jamaa kapiga simu anataka bidhaa afanyiwe delivery[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]nimecheka shida nini alitumiwa message kama hiyo au ??
Yes huu ni wizi mpya kuna jamaa aliufungulia uzi wake jinsi na yeye alivyopigwa alisema kwamba hao matapeli wanampigia mtu alafu wanaomba namba ya bodaboda wake anaemuamini kwa kigezo hichohicho cha kumtuma mzigoJamaa kapiga simu anataka bidhaa afanyiwe delivery
katoa location kijana kapeleka njiani anamwambia dogo niwekee elfu sita kwenye namba yangu ukija nakupa pamoja nataka kununua umeme, dogo akamtumia from wakala 10k, anafika sehemu aliyomuelekeza jamaa hapokei simu nusu saa nzima kunipigia kunipa mazingira ndo nkajua tushapigwa
Dah, poleni saana.Jamaa kapiga simu anataka bidhaa afanyiwe delivery
katoa location kijana kapeleka njiani anamwambia dogo niwekee elfu sita kwenye namba yangu ukija nakupa pamoja nataka kununua umeme, dogo akamtumia from wakala 10k, anafika sehemu aliyomuelekeza jamaa hapokei simu nusu saa nzima kunipigia kunipa mazingira ndo nkajua tushapigwa
Dah namuuliza kijana kwanini hujanishirikisha anasema niliona ni mwanaume mwenzangu dahYes huu ni wizi mpya kuna jamaa aliufungulia uzi wake jinsi na yeye alivyopigwa alisema kwamba hao matapeli wanampigia mtu alafu wanaomba namba ya bodaboda wake anaemuamini kwa kigezo hichohicho cha kumtuma mzigo
Ndicho kinachotusaidia wenye akili kubwa kuwabaini kiurahisi sana bila hata ku evaluate!Hivi kwa Nini matapeli wa mitandaoni wanajifanyaga hawajui kuandika? Wengi hawajuagi kutofautisha R na L, na H na A.