Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,783
- 21,019
Labda, siwezi pinga maana tumetofautiana uhitaji na upeo pia.Hapo anakuingiza kwenye laini kama unashida kweli na ukasema umtafute basi umeisha
Labda, siwezi pinga maana tumetofautiana uhitaji na upeo pia.Hapo anakuingiza kwenye laini kama unashida kweli na ukasema umtafute basi umeisha
Hushpuppi akiona matapeli wa Tanzania wanafanya huu ujinga anachekaHao matapeli wakapate kozi India, kule watu wako serious, wanafungua mpaka call center, tena ofisi ya gharama yenye kila kitu!
Unaona hapo sasa mtu mwenye shida ya kazi anapigwa hela hapoMe kuna mmoj mmoja kanipigia simu na kujifanya kunichangamkia kana kwamba ananijua, eti unajua pande zakwenu huko kuna demu wangu anaitwa Mariam vp unamjua nikamwambia simjui mara ooh siku hizi unafanya mishe gani? Nikamwambia sina mishe, akaniambia kwanini Husemi ndg kuwa Huna mishe si uwe tingo kwenye Gari ninaloendesha tuwe tunasafiri wote kwenda Tunduma. Yaani jamaa unaezasema linajua jinsi lilivyonichangamkia.....
ili wachuje wale watu wajanja, mtu ambae ataona huo muandiko na bado atafuata maelekezo, ndo target yao.... wanataka wale madunya kabisaHivi kwa Nini matapeli wa mitandaoni wanajifanyaga hawajui kuandika? Wengi hawajuagi kutofautisha R na L, na H na A.
Sasa kwa ujinga huu mtu anatoboa lini!Hushpuppi akiona matapeli wa Tanzania wanafanya huu ujinga anacheka
hawa jamaa ndo wale jamaa walikuwa na akilisana shule za sekondari na primay,lakini walikuwa wahuni sana,,,,madaftari yao walikuwa wanazungusha kama bomba alaf waningiza mfuko wanyuma wa kaptula,,,,then,ndo walkuwa wanakaa back bench,,,,,walikuwa wanafanya mazoezi ya kareti mabondeni na kunyayua vitu vizito...laiti wangezingatia masomo tasnia ya IT hapa tz ingekuwa juu sana aisee,,,,,nasema ivi kwa sababu na mimi niliingia kwenye huo mkumbo lakini nikajichomoa mapema,,,nakumbuka tulikuwa hatusomi,lakini mwalimu akimaliza sisi kila ki2 kimenasa,,,walioishia msingi walifaulu lakini hawakuendelea na masomo,na waliofaulu sekondari pia hawakwenda vyuoni,,,,group langu mimi wote tulipiga one kasoro mmoja tu alichomoka na 3,,,,kimsingi ukiwa kilaza ulikuwa unatengwa,,,sasa hawa ndo wanasumbua
hiyo sms unatapeliwa kivipi?? au uwe na ubongo wa kuku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]nimecheka shida nini alitumiwa message kama hiyo au ??
Hizo message wanatuma kwa watu 200 naamini kwenye hao 200 basi kuna watano watanasa mfano huyo jamaa aliyetuma hela , katika 200 amenasa yeye alafu bila kuuliza wala kuongea na administration ya shule tayari ameshakimbia kutuma helaWakuu,, maisha halisi ya mtaanj ni kwamba hamyajui? Naona wengi mnasema hamuwezi kamatwa kwa njia hiyo na mm nasema ni kweli kabisa.
Tatizozo linakuja kwa wananchi wa kawaida wa uswazi ambao level ya elimu ni ndogo sana na majobless ambao hawana elimu huwa wanapigwa sana na mbinu hizo za kutumiwa sms tu,,
Kitu kingine ni ujanja wa mtu, unaweza kuta jamaa kasoma vizuri tu lakini ujinga haujatoka kichwani na ana tamaa ya hela ya chap hapo lazima upigwe tu,,
mf, juzi kuna sehemu nilikua nafanya miamala ya kifedha kaja jamaa yupo smart sana kwa muonekano ni mjanja ila jamaa katumiwa sms kuwa "mwanao anaumwa sana yupo hospitali amepata ajali wakati anatoka hostel" kaja kutuma laki2 baada ya kutuma tu jamaa hawapatikani.
Hii mbona ya muda mrefu Sana mkuu[emoji16]Siku hizi unatumiwa meseji na mtu anajifanya mwenye nyumba anakudai kodi yake
Mkuu hii message ni kama kianzio au tunaita mtego , fikilia hiyo message ametumiwa tuu mama wa mtaani ambae anakijana wake ni jobless ataiona hiyo kama fursa akianza tu kumtafuta huyo tapeli atapangwa vizuri mpaka anaenda mwenyew kwa wakala kutuma helahiyo sms unatapeliwa kivipi?? au uwe na ubongo wa kuku
Ndio hivyo mkuu watu wakupigwa hawakosekani katika watu 200 wakinasa wawili tu jamaa tayari washakula hela nyingi tu,, mf zile sms za nafasi ya jeshi au usalama wa taifa kuna watu huwa wanalia sana wanapigwa hadi milioni 2.Hizo message wanatuma kwa watu 200 naamini kwenye hao 200 basi kuna watano watanasa mfano huyo jamaa aliyetuma hela , katika 200 amenasa yeye alafu bila kuuliza wala kuongea na administration ya shule tayari ameshakimbia kutuma hela
Wanatumia akili sana sema hujafatilia.Hivi kwa Nini matapeli wa mitandaoni wanajifanyaga hawajui kuandika? Wengi hawajuagi kutofautisha R na L, na H na A.
dah...kweli tumepishana akili ..pole zenuMkuu hii message ni kama kianzio au tunaita mtego , fikilia hiyo message ametumiwa tuu mama wa mtaani ambae anakijana wake ni jobless ataiona hiyo kama fursa akianza tu kumtafuta huyo tapeli atapangwa vizuri mpaka anaenda mwenyew kwa wakala kutuma hela
Hivi kwa Nini matapeli wa mitandaoni wanajifanyaga hawajui kuandika? Wengi hawajuagi kutofautisha R na L, na H na A.