Matapeli sfcg

Matapeli sfcg

enny mchuz

Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
33
Reaction score
1
jaman wana jamvi kuna watu wanajidai eti wamechagua watu kama asstant managers kwenye project za kahama na maeneo mengine,wametuma mail zao sasa wanaanza kuomba pesa eti laki 4 ukipata kazi unampa laki 3,jaman aliyepata sms hii ajihadhali wadau
 
Back
Top Bottom