Matani

Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Messages
20,308
Points
2,000
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2008
20,308 2,000
tyc

tyc

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2014
Messages
328
Points
500
tyc

tyc

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2014
328 500
Hongera, demu wako ni mzuri mpaka yeye huwa anakojoa cocacola!
Wewe ni mjinga hadi umeweka picha ya daktari nyumbani kwako ndio mkiumwa mnatumia ule usemi wa, 'maumivu yakizidi, muone daktari!'Wewe ni mchoyo mpaka ukitema mate unatemea kwenye mfuko!
nasikia Mentor umo kwenye list ya most wanted Milembe hosptal
 
bucho

bucho

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2010
Messages
4,880
Points
2,000
bucho

bucho

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2010
4,880 2,000
Ndo maana wewe ni mweusi hadi nikifungua picha yako - whatsapp display picture - simu inakuwa kama imezimwa!
Ahahahaha eti wewe ni danda hadi ukitupa mawe chini una-miss!!!!Ndo maana wewe huna shepu hadi kivuli chako kinakukataa!!!
Niondolee kichwa kama parachichi la kijiji
 
Goodluck TZ

Goodluck TZ

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2015
Messages
1,458
Points
2,000
Goodluck TZ

Goodluck TZ

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2015
1,458 2,000
Hongera, demu wako ni mzuri mpaka yeye huwa anakojoa cocacola!
Wewe ni mjinga hadi umeweka picha ya daktari nyumbani kwako ndio mkiumwa mnatumia ule usemi wa, 'maumivu yakizidi, muone daktari!'Wewe ni mchoyo mpaka ukitema mate unatemea kwenye mfuko!
mmetisha aaaah
 
T

Trinidad A

New Member
Joined
Sep 7, 2012
Messages
2
Points
20
T

Trinidad A

New Member
Joined Sep 7, 2012
2 20
Wazee naombeni mzoefu, nikifanya application ya kazi zoomTZ hivi najuaje kama zimepokelewa wazee, mwenye uzoefu tafahdari, niko juu ya magogo!!
 
Thelonious

Thelonious

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2017
Messages
211
Points
500
Thelonious

Thelonious

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2017
211 500
Wazee naombeni mzoefu, nikifanya application ya kazi zoomTZ hivi najuaje kama zimepokelewa wazee, mwenye uzoefu tafahdari, niko juu ya magogo!!
geuka nyuma hapo ulipo utaona jibu lako au usubiri leo utaota.

Nb: umejileta kwenye uzi usiyo. Hadi upigiwe simu mkuu.
 
Forum statistics

Threads 1,334,516
Members 512,012
Posts 32,478,792
Top