Mbna ndan kwenu pachafu mpka inzi na mende wanatema mateNini na wewe una mdomo mchafu mpaka ukitema mate yanakuwa mbolea.
Muone kwenu kuchafu hadi nzi wanavaa gloves.Mwembamba mpaka ukisimama kituo cha daladala na abiria wenzio konda anasema hatupakii miwa
Hahahahhahaha hahahahha hahahhha hahahahah hahahaha nmekubali kakaMuone kwanza matege kama upinde.
Wewe mshamba mpaka ulipakua toothpick kama chakula
Unajikuta mweupe, mara maji ya kunde...kumbe mweusi kama usikuMuone kwanza umezeeka mpaka mifupa yako ina pimples