Matani yanayoendana na makabila.....

Matani yanayoendana na makabila.....

MR. DRY

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2011
Posts
637
Reaction score
122
Unakuta mtu anakutania:

unakuwa mshamba kama wa URU(mchaga)

acha kuwa kama mnama(mkibosho)

wewe ndakoruuu nini(mmeru)

mwana siku hizi unapiga suruali za kina mwaitege(mnyakyusa)
............
...........nukta
 
mwana ckuhz unavaa masendoz makubwa kama msukuma au muha.
 
Unamaneno mengi kama mzaramo wa msanga.nukta
 
Mkono mkubwa kama msukuma
huwa pia kuna sifa zinazoendana na makabila
kama unakula ugali mkubwa/ mgumu kama msukuma
 
Malaya kama mnyakyusa, mchafu kama msafwa, unahasira kama mhehe...
 
kicheche kama mbulu,mweusi kama mjaluo,mkorofi kama mmeru
 
Back
Top Bottom