Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,432
Najua badhi yenu ntakuwa nimewakumbusha kitu.
Twende twende kichwa kama boga.
Twende twende ukomaa hadi ukitema mate yanadunda
twende twende mikono kama mchimba makaburi
Haha haha haha zama hizo mambo yalikuwa shwari kwelikweli
old is gold for sure!Unataka malani unataka matusi ......................................................
Najua badhi yenu ntakuwa nimewakumbusha kitu.
Twende twende kichwa kama boga.
Twende twende ukomaa hadi ukitema mate yanadunda
twende twende mikono kama mchimba makaburi
Haha haha haha zama hizo mambo yalikuwa shwari kwelikweli
Nimeipenda Avatar yako
Twende twende.. Kichwa kama mkate wa Boflo !!
Nininiii ... mashavu kama mabumunda !!
Twende! twende!! Masikio ka Popo!!Twende twende.. Kichwa kama mkate wa Boflo !!
Nininiii ... mashavu kama mabumunda !!
Mmenikumbusha mbali kweli.
Kwa sisi wengine hatima yake ilikuwa ni kuchora mstari chini,"kama wewe ni mwanamume kweli vuka"
Twende! twende!! Masikio ka Popo!!
Twende!! twende!! Pua ka tonge la ugali!!
Twende!! twende!! Macho ka gololi!!!
Twende!! twende!! Meno ka ya ngiri!!! Fantastic!!!
Twende! twende!! Ndevu ka Misumari!!
Twende!! Twende!!..............!!
Twende!! Twende!!..............!!
Twende!! Twende!!..............!!
Twende!! Twende!!..............!!
Twende!! Twende!! Tumbo ka Muwakilishi wa wananchi mjengoni!!!
Najua badhi yenu ntakuwa nimewakumbusha kitu.
Twende twende kichwa kama boga.
Twende twende ukomaa hadi ukitema mate yanadunda
twende twende mikono kama mchimba makaburi
Haha haha haha zama hizo mambo yalikuwa shwari kwelikweli
Twende twende...Matani si malani!!mi nilikuwa sijui malani basi siku moja nikajifanya kupambana na mtaalam wa malani mwishi nikabaki kusema "twend twende chungwa kama embe....." watu walicheka hadi wakakaa chini.
Twende twende.. Kichwa kama mkate wa Boflo !!
Nininiii ... mashavu kama mabumunda !!