matani ya kitoto enzi hizo!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

matani ya kitoto enzi hizo!!!!!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by stevoh, Mar 4, 2012.

 1. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  kumbuka unavyotaniwa na wenzako

  • :lol:
   • :lol:
   • :lol:


  unaambiwa etiiiii
  -una meno kama karanga za bwashee.......
  -kicha kama boflo la mkate
  -macho kama gololi dungudungu  ntakuja kumalizia nikipata mengine embu na wewe nikumbushe mengine....
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  kujamba kwa tembo kwenu taarifa ya habari.

  Kijiko kwenu mswaki


  umekomaa hadi ukitema mate yanadunda


  tumbo kama mpira wa m.v.
   
 3. K

  Kikombe kinafurika Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kichwa kama boga la usangu
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  kichwa kama harage, tumbo tikiti, miguu spoko za baskeli, makanyagio papai
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ndo maana kwenu mkipika nyama, mnakula kwa atendesi afu nyama mnarushiwa kwa manani na baba enu.
   
 6. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  we ni noma...
  inaelekea ndo zilikua zako kwa sana...
  kwa ujanja wako ninaouona hapa...duh
   
 7. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ndugu yenu mm nakumbuka yakilugha tu...
  af cjui hata kiswahili chake...
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ha ha ha
  uswazi chuo kikuu

  chezeiya uswazi wewe
  full kijiachia watoto
  mnajikuta mmekusanyika kama 20 hivi
  vituko tupu

   
 9. Rada

  Rada Senior Member

  #9
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Macho ka mjusi aliyebanwa na mlango, tumbo ka mimba ya chura....
   
 10. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Sie utotoni tulitaniana kwa mitusi ya kikubwa,mchenge wee!,kyumamayo,mchezo wa kibaba na kimama na mfano wa hayo sie ndo uswazi genuine enzi hizo Ilala mtaa wa utete nyumba no.49 mjumbe mzee chui!!
   
 11. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Kwenu wachoyo paka mkimeza mate mnajificha.
   
 12. kasingo

  kasingo Member

  #12
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu umenikumbusha mbali sana sio watoto wa siku hizi hawachezi hata kumborela
   
 13. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Chogo ka ncha ya mwiba
   
 14. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #14
  Mar 4, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Domo pana chapati hukunji!
   
 15. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #15
  Mar 4, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Kwenu ni wajinga paka mnaenda driving school boarding.
   
 16. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,273
  Likes Received: 3,005
  Trophy Points: 280
  Domo kubwa kama gadala la pombe kilabuni

  Kichwa kikubwa km treni
   
 17. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #17
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,273
  Likes Received: 3,005
  Trophy Points: 280
  Ukomaa tukikuna kichwa unatoa unga

  Unatishia kuja.m.b.a wkt unaharisha.
   
 18. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #18
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Pua kama bajia.

  Mashikio kama popo.

  Nywele kama mkutano wa siafu.

  Ha Ha Haaaaaa !!!!!!!!!! Zilipendwa. Zikilia zina chezwa.
   
 19. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #19
  Mar 4, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kongosho usiniambi ndo wamekukuna hapo maana naona spid yako kali.
   
 20. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #20
  Mar 4, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mashavu kama ****** ya mtoto,
  miguu kama chupa za togwa
  mweusi kama ukuta wa jiko
   
Loading...