jenerali kibibi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,167
- 630
sio kusomesha tuNdio maana wakafanikiwa kusomesha kwa kiwango cha kutisha kwa kuanzia, nenda muhimbili
hela wanAz sana na makaz bora mkoan kwao
sio kusomesha tuNdio maana wakafanikiwa kusomesha kwa kiwango cha kutisha kwa kuanzia, nenda muhimbili
kwasababu wana hela za kurushia maana kurusha n gharamaWakuu leo nimeleta huu uzi tujadili kidogo hiki kipindi cha matangazo ya vifo kinachorushwa na redio one sterio nimeanza kukisikia muda mrefu sana,lakini niligundua ni kwanza asilimia 95 ya watu ambao wanatangazwa au kutangaziwa vifo ni wachaga,ina maana wao ndio wanapenda sana kujua taarifa zao wengine hapana au inakuaje? wachaga njoeni hapa na ninyi mtueleze.
proud to be CHGni kwakuwa wana umoja ndo maana wanatangaza ili kupeana taarifa
ndo maana wachagga watabaki kuwa tishio tanzania daima dumu
kabila gani lina utamaduni wa kukutana walau mara moja kwa mwaka [worldwide]????? WACHAGGA
labda ungeuliza kwa nini matangazo mengi ya biashara karibu radio zote yanatumia lafudhi ya kichagga???/
:violin::violin::violin:
Kama unataka ugombane na wazee, jaribu kubadili radio wakati wa matangazo ya vifo. Watu wapo tayari kupitwa na taarifa ya habari lkn si MATANGAZO YA VIFO. Radio One inaheshimika Moshi kwa kuwa kuna watu wanataka kujua ndugu waliofariki.

hahahahaHuwa wana ushirika ambao unatoa rambirambi kwa wafiwa wanachama na hata kusafirisha mwili wa marehemu. Sasa kama umefiwa njia ya kukonfirm kama kweli umefiwa unatoa tangazo la kifo kwenye vyombo vya habari. Halafu unapewa rambirambi. Vinginevyo ungekuta mtu anafiwa kila siku na anakula mshiko kiaina.