Matangazo ya vifo Radio One

Matangazo ya vifo Radio One

Huwa wana ushirika ambao unatoa rambirambi kwa wafiwa wanachama na hata kusafirisha mwili wa marehemu. Sasa kama umefiwa njia ya kukonfirm kama kweli umefiwa unatoa tangazo la kifo kwenye vyombo vya habari. Halafu unapewa rambirambi. Vinginevyo ungekuta mtu anafiwa kila siku na anakula mshiko kiaina.

nimekusoma mkuu
 
umoja na mshkamano na utaftj we2 wa mali ndy uliotuwezesha wachaga kuwa maaruf had we ku2faham xo kwa habr ya mtangazo ya vfo 2natangaza il kudumsha umoja weä katka kvsaidiana na kwenx rida na raha

safi sana mkuu, huu ndo umoja unaotakiwa ktk jamii
 
Hivi hamuoni hayo yote ni maendeleo na yote ni kutokana na pesa? Nyie mnaona ubahili kutangaza mbona gharama zenyewe ndogo tu,tutawezaje kumtoa mtu dar aje kuzikwa moshi hako katangazo yushindwe?hamna mtu anayetaka umaarufu kupitia msiba ila ni kujuzana tu kutokana na kusambaa kila kona
 
Acha maneno wewe! Walio wengi wanashindwa kutangaza vifo vya ndugu zao kutokana na uwezo(uchumi wao upo chini)! Ndugu zangu fanyeni kazi, acheni majungu! Siri ya mafanikio ni kufanya kaz kwa bidii! Kazi ni kwako!!!
 
wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza mara nyingi nikipata wasaa wakusikiliza radio one hasa mida ya mchana, kwenye matangazo ya vifo kinachonishangaza ni kwamba majina na watu niwasikiao wamekufa ni wa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha tu. Tena hasahasa kilimanjaro.

Sio kwamba lazima wawe wanaishi huko bali hata kama wanaishi mikoa mingineyo. mathalani jana nikiwa kwenye daladala mwanzo hadi mwisho wa matangazo hayo ni watu wa jamii ya huko.

Maswali:
1. Watu wa kanda nyingine hubaguliwa wakipeleka matangazo yao?
2. kuna gharama nafuu/priorities kwa jamii ya huko?

My take:
Si kuleta mgawanyiko, matusi au kebehi. Tujadili kwa amani na kuelimishana.

Nawasilisha.
 
umeeahi sikiliza matangazo ya vifo RTD KWANINI WANAOTANGAZA KUFA NI WATU WA LINDI MTWARA TABORA MOROGORO NA KWA NINI UHISI WATU WA KASKAZINI TU MBONA HUJIULIZI KWANINI KWENYE WIZI WA ESCROW NI WAHAYA TU
 
Wanahisi wakitangazwa kwingine hawatatendewa fair,yawezekana kuna punguzo LA Vat pia.. teh teh
 
Cyo kwel kwan kabila lako kwa ubahli mkifiwa wala hamtangaz radion ila chagga wanatangaza
 
Suala hapo ni kwamba kila radio.ina maeneo.ambapo husikilizwa zaidi na Radio One ni maarufu zaidi.ukanda huo wa Kaskazini. RFA ni.maarufu na inasikilizwa.zaidi Kanda ya Ziwa na maeneo ya magharibi mwa Tanzania.
 
Tukubali hili lako mkuu
 
Kweli we ni remote sa ulishapeleka tangazo halikusomwa?shwyn
 
Watu wa kilimanja to ni wepesi kulipia matangazo redioni,hakuna aliyezuiwa kupeleka matangazo ya msiba redioni
 
wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza mara nyingi nikipata wasaa wakusikiliza radio one hasa mida ya mchana, kwenye matangazo ya vifo kinachonishangaza ni kwamba majina na watu niwasikiao wamekufa ni wa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha tu. Tena hasahasa kilimanjaro.

Sio kwamba lazima wawe wanaishi huko bali hata kama wanaishi mikoa mingineyo. mathalani jana nikiwa kwenye daladala mwanzo hadi mwisho wa matangazo hayo ni watu wa jamii ya huko.

Maswali:
1. Watu wa kanda nyingine hubaguliwa wakipeleka matangazo yao?
2. kuna gharama nafuu/priorities kwa jamii ya huko?

My take:
Si kuleta mgawanyiko, matusi au kebehi. Tujadili kwa amani na kuelimishana.

Nawasilisha.
wagalatia siku zote hamna akili, hivi ni nani aliyewaloga?
 
Ukifuatilia kwa makini utaona wasikilizaji wakubwa wa Radio One ni watu wa kutoka kanda hiyo, nadhani ndio sababu pia kuwa wao ndio wanaoitumia sana Radio One kwa matangazo.
 
Kila radio ina umaarufu wke isitoshe radio one ilianza kusikika zamani Arusha na Moshi na watu walishajijengea mazoea hayo.hata Radio free matangazo mengi ya vifo ni ya kanda ya ziwa,Utasikia Mwanza.Shinyanga.Bukoba.
 
Mimi wachaga wenzangu wananiachaga hoi pale nnapomsikia mtangazaji akisema habar zimfikie patirisia mushi akiwa uholanzi, yudatade mallya akiwa marekan na kanyewest temba akiwa uingereza !!#
 
Back
Top Bottom