Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,296
Familia ya Mama mchungaji Mrs. Dr. Nanihii....
Marehemu alikuwa akifanya kazi ya utendaji mkuu na shirika la UN kitengo cha chakula na kazi kwa miaka zaidi ya ishirini....
Mipango ya mazishi inafanyika hoteli ya Kunduchi beach hotel karibu na nyumbani kwa marehemu!
Kazi ni hapo kwa wafikiwa habari...
lol!
very good observation mkuu... sijui ni masifa au ignorance??
Kuna watu humu JF hawapitishi siku bila kupinga kitu........... hawaishi kwa uhalisia........ Hivi huyo mtu aliyeko huko ulaya kwa nini msimwambie kwa simu, e-mail badala ya hizi FM radios...??? FM redio zilizoko ONLINE zipo ngapi...??? Utakapotangaza redioni tutakaosikia ni sisi wa mbagala, manzese, Tandale, mchambawima.........etc ambao ndo tutahudhuria........... huyo wa ulaya mpeni taarifa aje kwenye arobaini/hitma..........Katavi, Mfumwa na Maane kilio cha mtoa maada ni uhalisia; hivi redio Mbwembwe kule Mbinga ama Kiboko FM kule Dododma ziko online? Mtoa maada anasema tujaribu kuwa wakweli hata hizi major FMs ni chache sana zipo online na ukweli ni kuwa email imekuwa ni mfumo wa haraka pia kuliko hiyo mnayoidai hapa kuwa huenda wakasikia wanaomfamahu then watamfahamisha! AAh haikai vizuri hii; reliability yake ni ndogo mno! Tuwe wa kweli nafsini mwetu!
Kuna watu humu JF hawapitishi siku bila kupinga kitu........... hawaishi kwa uhalisia........ Hivi huyo mtu aliyeko huko ulaya kwa nini msimwambie kwa simu, e-mail badala ya hizi FM radios...??? FM redio zilizoko ONLINE zipo ngapi...??? Utakapotangaza redioni tutakaosikia ni sisi wa mbagala, manzese, Tandale, mchambawima.........etc ambao ndo tutahudhuria........... huyo wa ulaya mpeni taarifa aje kwenye arobaini/hitma..........
Labda wanataka awasaidie kununua jeneza la bei mbaya............ Na wengine utakuta hawajihusishi na chochote juu ya kilichomuondolea uhai marehemu............ eg UgonjwaMkuu hapo unakuta watajwa wamesha arifiwa tayari kwa njia ya haraka zaidi simu au e-mail, lakini bado na kwenye redio eti wanatumiwa taarifa ilhali hata uwezekano wa wao kusikilizia hiyo taarifa humo haupo....
its all about show-off......
hapo kwenye red nimekukubali mkuu..tehe tehe tehee!Tupatie kali moja unayoikumbuka hapa!
Maana hapa unaweza ukadhani marehemu amefufuka na anatafuta kazi kwi kwi kwi!
Jingine kama hilo ni hili, leo asubuhi nimemsikia mke wa Makamba(katibu wa ccm) akitangaza kifo cha mama yake mzazi, kilichonishangaza, ni kumtumia hata mme wake(Makamba), Ina maana hata simu hakuna ya kumpigia mmewe?, kuugua hadi kufa huyu makamba hajui?,huyu mke mpaka anaenda kutuma tangazo hili makamba hajui?, inashangaza kweli.
hapo kwenye red nimekukubali mkuu..tehe tehe tehee!
Mbembwe nazisemea kwenye mazishi na hughuli nzima za maziko watu misuti na mikofia utadhani tunashindana!! Asili yetu misiba mwake khanga na kuomboleza kwa sana sasa siku hizi mijisuuuuti na kokoko za kufa mtu huku miguu imesheheni vikuku
Misiba zamani bwana, hata ndala wafanya shikiwa na wapambe.
Natanguliza samani zangu kwa nitakao waudhi ila nimeona nibora nilweke hapa labda mtazao wangu unaweza kua hasi.
Siku zote kwenye matangazo ya vifo hasa kwenye radio mara nyingi tunawakumbuka ndugu matajiri , wenye vyeo mbalimbali na walioko nje ya nchi.. Mfano.
HABARI ZIMFKIE NDUGU ... AKIWA WASHINGTON MAREKANI.. DR... AKIWA SAFARINI UINGEREZA.... PRO... AKIWA DAR ES SALAAM.
Sababu hasa ni watu wajue familia /ukoo una watu wazito au?
Mtoa hoja ana hoja ya msingi wala hupaswi kumbeza. ;i pia nishasikia mara kadhaa eti habari ziwafikie Mzito Kabwela wa Ukraine..... Ni kweli Mzito anasikiliza Radio hiyo kwa wakati huo akiwa Ukraine? Na katika ulimwengu wa sasa taarifa ya namna hiyo ina maana? Kwangu mimi matangazo ya vifo redioni ni upuuziHapo kwy red
umeshajijibu mwenyewe