Matangazo ya tohara hadi karne hii ya digitali?!

Matangazo ya tohara hadi karne hii ya digitali?!

Wengine ukiwaelimisha ni wabishi, anakwambia siwezi kuutoa mwili alionipa Mwenyezi Mungu!
Sasa unambishia? Basi wewe umekuwa mungu basi. ..kata basi na hiyo miguu yako miwili tuone kama utatembea.
 
Hayo madude sio mabaya ila shida kubwa hawa ndugu zetu ni wachafu wana mazoea yakuvaa nguo za ndani zaidi ya siku moja. Sasa sweta linagenerate joto plus jasho bwana weeeee utafikiri kiwanda cha konyagi harufu mbaya.

Wakilikunja wakaosha vizuri ndani freequently is the best.
 
Huku Sikonge walikuja kuhamasisha kutahiri wanaume wakawa wanagawa T-shirt aiseeeee walitahiri kiasi kwamba vile vingozi vilikaribia kujaa kirikuuuu
Hivi zile govi huwa zinapelekwa wapi?
Maana nilisikiaga watu wanasema eti hayo magovi husafirishwa kimagendo kwenda China ambako magovi husagwa na kutengenezwa chakula aina ya sausage
 
Hivi zile govi huwa zinapelekwa wapi?
Maana nilisikiaga watu wanasema eti hayo magovi husafirishwa kimagendo kwenda China ambako magovi husagwa na kutengenezwa chakula aina ya sausage
Wacha niulize wahusika tupate mbivu na mbichi
 
Back
Top Bottom