Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,375
- 56,096
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]daah!siku moja Niko Bariadi nasikia hao wakata magovi na magari ya matangazo wanaume waende kwenye Hosp ya wilaya kutahiriwaHuku Sikonge walikuja kuhamasisha kutahiri wanaume wakawa wanagawa T-shirt aiseeeee walitahiri kiasi kwamba vile vingozi vilikaribia kujaa kirikuuuu