Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,972
- 168,468
Wajinga ndio waliwao
Siku hizi dili kujitangazia u-nigeria, kuna mtaa huku uswazi mganga wa jadi kajitangazia u-nigeria wakati yeye ni msambaa, anawambajeeee... kweli wabongo bado sanaa
Anawabamba mapungazeze wenzakeSiku hizi dili kujitangazia u-nigeria, kuna mtaa huku uswazi mganga wa jadi kajitangazia u-nigeria wakati yeye ni msambaa, anawambajeeee... kweli wabongo bado sanaa