Matamshi ya Mh. Kassim Majaliwa kuhusiana na Bwawa la Umeme la Nyerere

PM Majaliwa alisema kweli, hata VP Samia pia alisema hivyo hivyo, JPM alikuwa mzima akipiga job, mara akaugua ghafla na kufa ghafla.

Umeme wa Stigler utawaka ufikapo mwezi Juni , 2022!.
Amini nakuambia.
P

Na alipoongea vile umma wa wana Instagram na faceebook ulimwamini ingawa twitter na jf haukumwelewa kabisa.
 
Napata wakati mgumu kuyaamini matamshi ya waziri mkuu anaposema bwawa la kuzalisha umeme linaloendelea na ujenzi litakamilika mwakani mwez wa sita na pesa ipo.
Waziri huyuhuyu mwezi uliopita alituambia hayati Magufuli yuko kazin anachapa kazi ilhali alikua hospitali mahututi.
Haaminiki tena, anastahili kujiuzulu
 
..huyu pm si wa kumwamini kabisa ..huyu aliweza kudanganya umma kuhusu aliko JPM hawezi kushindwa kudanganya Kwa mambo mengine...hawa ndio wasaka fursa...
 
Back
Top Bottom