Matamko ya CCT NA PCT kuhusu kuchinja

Status
Not open for further replies.
Wapi panaposema ili mkristu ale nyama lazima iwe imechinjwa na mkristu.

wapi panasema suala la kuchinja hapo juu? nimeweka bible inasema kila kitu ni kizuri, tena chafaa kwa kuliwa!!!

sasa kama imeamriwa kuwa kila kitu kiliwe, na damu isiliwe, si lazima kuchinja ili damu imwagike chini?

ukija kwa hoja ya kuchinja, inajibiwa

1kor 10:27 Kama ukikaribishwa chakula na mtu asiyeamini nawe ukikubali kwenda, kula kila kitu
kitakachowekwa mbele yako bila kuuliza maswali kwa ajili ya dhamiri. 28 Lakini kama mtu
ye yote akikuambia, "Hiki kimetolewa kafara kwa sanamu," basi usikile kwa ajili ya huyo aliyekuambia na kwa ajili ya dhamiri.


waislam mmeharibu kusema, kuchinja ni ibada! maana ya ibada ni kuwa mnahitaji kuchinja ili mtoe sadaka kwa Allah!!!

kwa kuwa mmetangaza wazi kuwa kuchinja ni ibada, ndo mmevuruga kabisa!!!
 
Je kuna haja ya Kuwa na Maduka ya nyama tofauti kulingana na imani zetu...? machinjio yatakuwaje nanhuduma zake...?inahitajika busara kuamua jambo hili...
Mkuu, sio suala gumu. Kama imani za watu zinakataza kula kilichoandaliwa na imani nyingine hapa nani aburuzwe?, Tunafanya kosa kuangalia hili suala ktk misingi ya uislamu na ukristu tu. Amini usiamini kuna baadhi ya sehemu Tanzania hii sio waislamu na wala sio wakristu. Unapowaambia wanapotaka kujitengenezea vitoweo vyao wautambue uislamu ni kuwaonea. Hili la kutenganisha mwanzo litaonekana gumu lakini tutalizoea tu, na wala halitaleta utengano, Tukitakabkula mgahawani wewe Rashid unaingia palipoandikwa HALAL mimi Peter naingia palipoandikwa UNHALAL tukimaliza tunaenda kucheza mpira pamoja. Mambo mswano.
 
Watanzania poleni sana!!! wengi wenu humu ndani inaonekana mmenda shule na lakini hiyo shule haijawaisaidia. Mnakalilishwa hadi imani zenu. Wakristu tuacheni ujinga sisi hata vibudu tunakula leo hili la kuchinja linatoka wapi?
 
Hivi samaki hua anachinja nani jaman!!! i have to know

vitu vingi tu, nafaka, samaki, mizizi kama ndizi, viazi nani analima? wanapolima au wanapokamata samaki, wanatazama KIBRA?

Mie sku hizi, nakula chakula kinachotuunganisha wote bila kuuliza wewe dini gani. chakula changu siku hizi ni wali samaki, samaki wakiisha nachukua wali mboga mboga kwisha kazi. minyama iliyotolewa kafara hata mchuzi wake sitaki kusikia, nikikumbuka zaidi, natafuta kitimoto na ndizi za kutosha
 

Nakumbuka miaka ya Tisini kuna wasafwa walikua wanakaa karibu na hifadhi ya ARUSHA jamaa walikua wanakula nyani,kima ,panyabuku na nungunungu sasa hawa cjui nani alikua anawachinjia...all in all tunatakiwa kula nyama iliochinjwa na sio mzoga lakini mchinjaj anapoleta imani zake wakat wa kunjinja kwa sie wakristu ni katazo ni kama kushiriki kwenye matambiko ya miungu Wengine ....
Mimi ningeshauri yeyote anaweza chinja but lakini asihusishe dini wakt wa kuchinja myama huyo this will be safe meet lakini akishahusisha dini basi kwa wengine ni chukizo
 
Suala sio kususa, kila mtu afanye mambo kimpango wake, nakubaliana na wewe kwamba waislamu hadi kunya ni ibada, sasa mtatulazimisha wote tunye kiislamu au?, au wengine tusinye watunyee waislamu tu kwa sababu wao ni ibada?, acheni mambo hayo.( samahanini wakuu sijatumia tafsida ili kufikisha ujumbe katika uhalisia wake)
 
Tukiwaachia kuchinja kama kawaida yenu, mtaanza tama na kutuchinjia manyani, punda na wanyama wengine wenye madhara ya binadamu . nyie hamuaminiki, machinjioni kuko salama mkiingia huko mtapeleka ufisadi. nawakemea!

Umekazania sana haya maneno,kwa hiyo unataka kutuambia uarabuni hakuna ufisadi?ibrahim msabaha ni mkristo?si wote tunajua alijiuzulu kwa issue za ufisadi..na Rostam Aziz je?naye si ana tuhuma za ufisadi,au yule ni mkristo?mkuu acha ubaguz wa ajabu,na mbona hamdai mwenye haki ya kufuga mifugo ni mwislamu tu?yaan afuge mkristo halafu kuchinja haruhusiwi?acheni kukuza mambo ya kutugawa..acha kushabikia udini...!
 
ccm walitumia sera za udini wakati wa uchaguzi na wakashinda kwa kutugawa watanzania sasa ndio faida ya dhambi,acha imtafune vasco dagama na serikali yake!
 
Mi sioni tatizo kula nyama iliyochinjwa na Muslims,mi ni mkristo nyama twanunua kwa waislamu sababu tunaamini hawana mambo ya nguruwe.
 

Mkuu hoja ni kwamba wakristo mlikuwa hamfahamu kuwa kuchinja kwa muislamu ni ibada.
Kwa vile mmesha lifahamu hilo,sasa mmesema kuchinjiwa na waislamu sasa basi. Je,mtakapokuja kugundua kuwa waislamu kumbe hata kuzungumza kwao ni ibada mtatengananao pia katika kuzungumza?
Hayo mengine uliyoyaongea ni ya kwako!!
 
Tukiwaachia kuchinja kama kawaida yenu, mtaanza tamaa na kutuchinjia manyani, punda na wanyama wengine wenye madhara ya binadamu . nyie hamuaminiki, machinjioni kuko salama mkiingia huko mtapeleka ufisadi. nawakemea!

Nimekuchukia bure kwa aqlinacha zako
 
Mkuu, Hakuna aliye wazuiya wakiristo kuchinja, Ebu jiulize Nani anawachinjia Nguruwe zao? wanachinja wenyewe kwa jina la Bwana waendelee tu na dini yao hiyo bila kumbughudhi mtu. lakini hatutowaruhusu kutuchinjia sisi waislam manyani kwa sababu tunawajua mna tama za pesa na ufisadi kwa hiyo mtaharibu soko la machinjio
 

Sasa kuna mwenye tamaa ya pesa na ufisadi kumzidi
Jakaya Kikwete ambaye ni muislam na yupo Magogoni? Wacha ngebe kaka/dada mbona mnakula sausage tu kila asubuhi na hamlalamiki au na hizo mmezihalalisha?
 
Hiyo nadhani sio spirit ya umoja wa taifa. Ni udini. Sisi wakristo hatuna kizuizi wakichinja ila watambue sio sheria ya nchi wao kuchinja wala sio kosa mkristo kuchinja na wakikuta mkristo amechinja wanaweza kula au kuacha na sio kuinua majambia kudhuru watu. Lazima waislamu wakubali hio ya wao kula kilichochinjwa na muislamu tu ni sharia yao na haiwahusu wasio waislamu. Wajifunze kuheshimu imani za wengine.
 
Inaelekea miongozi mwa kazi ngumu kabisa ni kumuelewesha muislamu mpaka akaelewa, tunachopinga hapani kuzuiwa kwa mtu kufanya jambo ili afanye muislamu tu kwa kuwa kwao ni ibada, kama kuongea kwa muislamu ni ibada, basi wengine tunazuiwa kuongea aongee mwislamu tu kama wanavyotaka iwe kwenye kuchinja, sidhani kama umenielewa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…