Hakna andko linalo waruhsu!
Nawasihi watanzania tununue nyama kokote. Yeyote atakayechinja tule tu, Mbona vyakula vinapopikwa hatuulizi kapima mtu wa dini gani? Jamani tunakoelekea ni kubaya.
Ni sahihi na haki endapo kutakuwaepo na bucha za imani tofauti na kuwekwa lebo ya bidhaa kwa imani husika. Hakuna swala la imani moja kuwa bora na haki kuliko nyingine. Uharamu au uhalali sharti utokane na sheria za nchi na sio mazoea au ubabe.
kwenye quaran? Unategemea huo msahafu wa waislamu ungeongelea watu usiowahusu(wakristo)? Soma biblia uone kama kuna sehemu wakristo waliambiwa wakachinjiwe na waislam,uislamu ni dini iliyokuja baadae sana(576 A.D),unamaana watu walikuwa hawachinji kabla? Thnk deep!
nakushauri kasome tena biblia kabla hujarudi kuandika mambo yanayokudharaulisha hapa. Uliyoandika ni ushahidi wa namna gani huna elimu ya biblia.
Ebu acheni mambo ya Walawi hayo ya mapokeo. Imeandikwa wapi kuwa ni ninyi pekee mnaopaswa kuchinja? Kama kwenye kitabu mnachokiamini ninyi, wale wasio kiamini kinawahusuje?, Je, na wao wanalazimika kubanwa na imani zenu?. Wenye hekima wangeweza kujiuliza, Je, ninyi huwa hamsafiri kwenda huko mnakodai wanachinja nyani, punda, nk? Hivi unapofika huko nje hususan Ulaya na Marekani unauliza kachinja nani kabla ya kula nyama? Au hamjui sasa teknolojia imebadilika wanyama hawachinjwi kienyeji. Je, hamuwezi kula nyama iliyochinjwa kwa Mashine au hamli nyama ya kopo (canned Beef) ambayo kwenye lebo za kopo huambiwi kachinja nani?. Hivi ni nani aliyezurika kwenu kutokana na kula nyama iliyochinjwa na yule ambae si wa imani yenu!? Hamuendagi kwenye misiba, sherehe, mikutano nk mkala nyama?. Hivi kule huwa mnauliza kachinja nani?! Tuyatafakari hata yale tunayofundishwa, tujifunze kuwa dunia imebadilika.
umenena maneno yenye hekima sana.jambo hili limenitatiza sana.ubaguzi wa dini ni mbaya kuliko ubaguzi mwingine wowote.fikiria shule za serikali watishije kama kweli wakristo wakilazimisha kula nyama iliyo chinjwa na mkristo tu? jeshini je wataishi vipi? walioana mkristo na mwislamum? DHAMBI HII NI MBAYA NA INALENGA KULIANGAMIZA TAIFA.
Wilbrod Slaa
Uchonganishi kwa kutumia dini ni mbinu chafu na ya mwisho ya utawala unaotapatapa kwa kushindwa kutekeleza mambo mengine ya msingi zaidi kwa wananchi wake.
Wananchi lazima kutambua hilo na kukumbuka kwamba umaskini na ukosefu wa mahitaji ya msingi si matokeo ya tofauti za dini au makabila bali utawala mbovu.
Huyo ndiye adui wa Taifa letu na ndiye wa kwanza tunayetakiwa kukamilisha harakati za kumuondoa zinazokaribia kushinda.
Kuna maandiko gani katika bible yanayozungumzia namna ya kuchinja? Naomba msaada
Kwakuwa mnaonyesha kuwa mna haki ya kuchinja ssi wakristo hatuna ugomvi nayi endeleeni na ibada yenu hiyo sisi tumegundua kuwa tulikua tunashiriki ibada yenu kimakosa hivyo hatutaki tena ibada yenu tutachinja barabarani na kula tulivyochinja tutatengeneza mabucha yetu na tutaweka kila pande mabucha yetu bila kuwaudhi tutakula nyama zetu tutanunu ktk mabucha ya wakristo tu tukijua bucha la muislamu hatuendi wauzienio waislam wenzenu.
Serikali na mashirika takriba yote yamajaa ufisadi na huduma mbovu, ni sehemu ya machinjiyo pekee kuna huduma safi na hakuna ufisadi, wa Tanzania lazima tujivunie na sehemu hiyo.
Tukiwaachia ndugu zetu Wenyetamaa za maisha, watoe huduma hiyo kama wanavo ngngania, naamini kabisa ufisadi, uchafu, utapeli na Maradhi yatarindima machinjioni, msije shangaa mkaanza kulishwa:
Punda,
Farasi,
Mbwa,
Manyani
nk.
Tumeyaona huko Ulaya sasa nyama haziliki tena, wenyeji wote wananunua HALAL Meat toka Bucha za Waislam kwa sababu ya watu hawa waliokosa maadili, wenye tamaa ya maisha wanaoweka mbele pesa walivyo haribu soko la Bucha.
Wewe unawaamini ?
Nawashuruku wazazi wangu kwa kutokuwa wafuasi wa S.A.W. Maana hilo kundi lina inferiority complex. Hata kitabu chao wanachoamini hakuna sehemu inayosema wao ndio watu pekee wanaoruhusiwa kuchija humu Duniani sasa cha kushangaza taka taka ya hoja hiyo wanatoa wapi sasa!!! Stupid.
Nawashuruku wazazi wangu kwa kutokuwa wafuasi wa S.A.W. Maana hilo kundi lina inferiority complex. Hata kitabu chao wanachoamini hakuna sehemu inayosema wao ndio watu pekee wanaoruhusiwa kuchija humu Duniani sasa cha kushangaza taka taka ya hoja hiyo wanatoa wapi sasa!!! Stupid.
King James Version
GENESIS {9:1} And God blessed Noah and his sons, and said unto them, Be fruitful, and multiply, and replenish the earth.
{9:2} And the fear of you and the dread of you shall be upon every beast of the earth, and upon every fowl of the air, upon all that moveth [upon] the earth, and upon all the ishes of the sea; into your hand are they delivered. {9:3}
Every moving thing that liveth shall be meat for you; even as the green herb have I given you all things. {9:4} But flesh with the life thereof, [which is] the blood thereof, shall ye not eat.
Kwa kiswahili
Mwanzo 9:1 Ndipo Mungu akambariki Noa na wanawe, akiwaambia, Zaeni mkaongezeke kwa idadi na mkaijaze tena dunia. 2 Wanyama wote wa duniani, ndege wote wa angani, kila kiumbe kitambaacho juu ya ardhi na samaki wote wa
baharini wamekabidhiwa mikononi mwenu, nao watawaogopa na kuwahofu. 3Kila kitu chenye uhai kiendacho kitakuwa chakula chenu. Kama vile nilivyowapa mimea mbalimbali, sasa nawapa kila kitu. 4Lakini kamwe msile nyama ambayo bado
ina damu ya uhai wake, kwa maana damu ni uhai.
hivyo kila kitu ni menu tu.
Nyie endeleeni kujadili tu lakini sidhani kama kweli haya mnayojadili humu ndiyo mnayoyaishi siku zote katika maisha yenu.
Mambo yote yanayomhusu Mwenyezi Mungu ni tata ndio maana pakawepo na dini mbalimbali ambazo na zenyewe
ndani yake zimefagawanyika na huyo ngawanyo kila mmoja anatafsiri maandiko anavyojua yeye ama kwa tafsiri
kibinadamu na mazingira yake au kwa utashi wa kuwavutia wengine kibiashara.
Kiukweli yote haya ni matokeo ya ukoloni mamboleo unaoanza kujikita zaidi katika imani,mila na desturi za watu ili
panapowezekana mila na desturi zetu na baadhi ya imani za amabazo zimejikita kiimani zaidi (itikadi kali) zifutiliwe
mbali.
Binafsi ningependa mijadala kama hii isituweke roho juu sana kiasi kwamba tukashindwa kutafakari mambo mengine ya msingi yenye tija kwa taifa.
Na kama issue kuchinja na kwa kuwa serikali haina dini lakini ina maeneo iliyotenga kwa ajili ya watu wake
kuchinja,kupumzika,kucheza/michezo na shule/madarasa.Hivyo basi suala lolote linalohusu imani ni bora serikali
ikasitisha mara;
1. ufadhili wa machinjio ya wanyama na badala yake machinjio yapatiwe kazi nyingine ikiwepo masoko ya bidhaa za
nyama,samaki na mbogamboga za wakulima wadogox2.
2.kutumia madarasa ya shule za misingi na sekondari kama sehemu ya kuabudia baada ya masomo au siku za kuabudu za dini husika.
3.kutumia maeneo ya wazi/public space na viwanja vya michezo kama sehemu za mikusanyiko ya mikutano yoyote ya
dini hasa ukizingatia kuwa dini hizo zina nyumba zao za kuabudia na si kwenye maeneo ambayo ni tofauti na nyumba
za ibada na hivyo kuleta hisia zenye chuki kwa imani nyingine ambazo hazikulengwa kwenye mkusanyiko huo.
Sidhani kama serikali inaweza kuwa kali kiasi hicho kwa kusitisha baadhi ya vitu vinavyowezesha watu wake wawe huru kiimani,inachosubili labda wakuu hawa wa dini wataonesha busara ya pamoja kutaka kukutana na mkuu wa nchi kwa mazungumzo ya namna ya kutafuta ufumbuzi wa pamoja wa suala hili.