Serikali na mashirika takriba yote yamajaa ufisadi na huduma mbovu, ni sehemu ya machinjiyo pekee kuna huduma safi na hakuna ufisadi, wa Tanzania lazima tujivunie na sehemu hiyo.
Tukiwaachia ndugu zetu Wenyetamaa za maisha, watoe huduma hiyo kama wanavo ngngania, naamini kabisa ufisadi, uchafu, utapeli na Maradhi yatarindima machinjioni, msije shangaa mkaanza kulishwa:
Punda,
Farasi,
Mbwa,
Manyani
nk.
Tumeyaona huko Ulaya sasa nyama haziliki tena, wenyeji wote wananunua HALAL Meat toka Bucha za Waislam kwa sababu ya watu hawa waliokosa maadili, wenye tamaa ya maisha wanaoweka mbele pesa walivyo haribu soko la Bucha.
Wewe unawaamini ?
Katika misiba ya watumishi wa Mungu Mch Mathayo Kachira Buselesele na Askofu Thomas Laizer Arusha matamko mawili ya mabaraza ya wakristo yaani CCT na PCT yametolewa yakiweka wazi msimamo wa jamii ya wakristo kuwa kuanzia sasa wakristo watachinja kitoweo chao. Kwa vile sasa imeonekana suala la waislamu kuchinja ni ibada yao, wakristo hawatashiriki katika ibada isiyo wahusu.
Jambo hili ni muhimu tulifikiri na kujadili mapema maana linaamua mustakabali wa jamii ya watanzania. je hotel zitakuwa labelled kama zina nyama iliyochinjwa kiislamu au kikristo? Na vipi katika sherehe za pamoja zitakuwepo buffet mbili moja ya nyama iliyochinjwa na waislamu na nyingine wakristo? Naona media zinajitahidi jambo hili lisizungumzwe wala kutangazwa maana tv zote tangu jana zinakwepa kulizungumzia. Mimi naona hii ni hatari zaidi!!! Mods naomba msiiondoe thread hii!