Matamanio ya mwili

wow very few ladies do wat u say!frm me to yous bravoooo Judy at least u speak frm ur hut,very gud gal
hapo penye bold da pearl, mi labda nimeumbwa kivingine. mi siku ya kuolewa ikifika kama sijapata mchumba nitatafuta mwenyewe na nikimpata nitamwambia lote lililomo moyoni na akilini mwangu yule nitakayeona ananifaa na nitamuencourage na kumuongoza hadi tufunge ndoa. kwa kweli mi sina udhaifu wa kusubiri kuambiwa kwanza nanaamini si kukiuka maadili maadam ninalenga kufunga ndoa ambayo hakuna maadili yanayoikataza. siwezi kuwa mtumwa na wakati Mungu kishaniweka huru
 
tila tuongee ukweli, ukikutana na mwanamke ukishaiona reception lazima utataka uone uani pakoje then unatoa maksi kimoyo moyo..! siitaji maswali nawasilisha

D5 ikitokea ukaanza kuona uani je utataka kuona reception au mambo yote uani?
 
aaaah mi ningekua mwanaume wala nsingemtamani huyu.
mwiliumekomaa,na sijui akigeuka mbele kama utatamani kuendelea kumuangalia.
 
aaaah pole Aspirin ila ht hujachelewa......

Sasa 2my hiyo avatar yako unaniruhusu nianzishe sredi ya "Matamanio ya mwanaume kitandani?"

Ni ombi tu waweza kubali au kataa.... I have fallen in love with it...damn! nazeeka vibaya asee!
 
Gym gani?? Ya miguu peke yake?? Halafu kama mchina fulani hivi maana haviendani kabisa mwili wake na hilo sebene

Hilo fulushi sio mchina ni original hilo

Watoto wa uswazi wanasema amejaaliwa
 
miguuu kama ya nsajigwa.

Huo mzigo ni kama anabeba kilo amsini begani na kupiga skwati kama hajaliwa motokaa unadhani kwa siku atakuwa amepiga skwati mara ngapi?

@ Fidel unamfahamu Mbilinyi? huyu ni mke wake hakika mtakosana
 
Sasa 2my hiyo avatar yako unaniruhusu nianzishe sredi ya "Matamanio ya mwanaume kitandani?"

Ni ombi tu waweza kubali au kataa.... I have fallen in love with it...damn! nazeeka vibaya asee!

wewe tu fidel anzisha
afu cdhani km unazeeka vibaya ni mtizamo wako tu........
 
wewe tu fidel anzisha
afu cdhani km unazeeka vibaya ni mtizamo wako tu........

Name calling....mimi siitwi Fidel.
Mimi ni Babu Asprin aka Big braza ODM....mutu ya maneno mingi bila utendaji...
 
Back
Top Bottom