Matamanio ya mwili

Kitu kama hii mwanaume yeyote rijali lazima ageuke angalau ashangae tu, hata kama kaongozana na mpenzi wake lazima akate shingo
Mimi nafikiri kugeuka na kumwangalia mtu, sio lazima umtamani! Hata wanawake watageuka kumwangalia huyo mdada, maana vya kwake vimezidi ukawaida! na nguo aliyovaa nayo inachangia watu kugeuka!
 
Aaaaah mi nina aleji na hilo fulushi mmmh

Kwa hiyo kila unayemwona na hilo furushi unamtamani. Tafuta mmoja mwenye furushi kama hilo mweke ndani,zama katika ibada atapatikana, itakusaidia kutotamani kila mwenye furushi
 
Hapo palipovimba poa, lakini jamani mikono na miguu mbona kama ya Masanja au macho yangu..
 
Mimi nafikiri kugeuka na kumwangalia mtu, sio lazima umtamani! Hata wanawake watageuka kumwangalia huyo mdada, maana vya kwake vimezidi ukawaida! na nguo aliyovaa nayo inachangia watu kugeuka!

Kwa hiyo kama wewe huna fulushi utageuka kulithaminisha kama hilo?
 
nadhani kutamani ni kwa kila mtu!sema tu inategemea unajizuia vpi,tusiongelee uwingi lkn mm kama mdada pia natamani,unaweza kumtamani mtu kwa muonekano wake,utanashat wake,uongeaji wake,uelewa wake,mali zake alizonazo,tabasam lake,uchafu wake,upole wake etc lakini maadili yangu hayaniruhusu kumwambia langu la moyoni labda nikivuka mipaka sana ntamwambia kaka umependeza lkn siwezi kusema kaka nakupenda,sasa mtu kama huyu akinitokea tu atapata chenga ndogo tu labda mwezi maana tayari na mm nina nterest zangu kwakwe.

hapo penye bold da pearl, mi labda nimeumbwa kivingine. mi siku ya kuolewa ikifika kama sijapata mchumba nitatafuta mwenyewe na nikimpata nitamwambia lote lililomo moyoni na akilini mwangu yule nitakayeona ananifaa na nitamuencourage na kumuongoza hadi tufunge ndoa. kwa kweli mi sina udhaifu wa kusubiri kuambiwa kwanza nanaamini si kukiuka maadili maadam ninalenga kufunga ndoa ambayo hakuna maadili yanayoikataza. siwezi kuwa mtumwa na wakati Mungu kishaniweka huru
 
Sema akia Mungu kama hujachumbiwa!!!:msela:
 
Back
Top Bottom