Matamanio ya mwili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matamanio ya mwili

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Fidel80, Jan 20, 2011.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Kwa mwanaume wadau wanasema ni kawaida kutamani kwanza kisha anapenda baadae kutokana na huduma atakazo pata na kufrahisha moyo wake lakini kwa wenzetu akina dada wao wanapenda moja kwa moja bila kutamani.
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kitu kama hii mwanaume yeyote rijali lazima ageuke angalau ashangae tu, hata kama kaongozana na mpenzi wake lazima akate shingo
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  oooooooooooooooops Fidel umeamkaje leo
  naona huo mzigo unatisha kaumbo na rangi pia ,
  Nitarudi baadae
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Mmmm haya tamanini tu
   
 5. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Umetamani nn hap swit?
   
 6. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  miguuu kama ya nsajigwa.
   
 7. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Fidel180 unajihatarisha sana kwa kukata shingo kuangalia warembo, mkeo akiwa mtu wa KURE KWETU anaweza akakugecha
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahahaha acha hizo bana
  Je hujatamani hapo?
   
 9. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  nadhani kutamani ni kwa kila mtu!sema tu inategemea unajizuia vpi,tusiongelee uwingi lkn mm kama mdada pia natamani,unaweza kumtamani mtu kwa muonekano wake,utanashat wake,uongeaji wake,uelewa wake,mali zake alizonazo,tabasam lake,uchafu wake,upole wake etc lakini maadili yangu hayaniruhusu kumwambia langu la moyoni labda nikivuka mipaka sana ntamwambia kaka umependeza lkn siwezi kusema kaka nakupenda,sasa mtu kama huyu akinitokea tu atapata chenga ndogo tu labda mwezi maana tayari na mm nina nterest zangu kwakwe.
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hilo fulushi mtoto si anakaa kabisa hapo?
   
 11. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  bwa ha ha ha ha hata sura kaificha.....mkuu fidel inakuwaje watuogopesha na kitu hiki?
   
 12. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  wimeni ara soo wiki
   
 13. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  not so wiki dear its only kwamba it cant be vise versa aza wise i dont think mngeweza kukataa hata mwezi mmoja!
   
 14. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kuna jamaa angu hapa pembeni ananiambia ..........
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hayo ndo matamanio ya mwili akija mtu ambae ndo target yako basi ni rahisi kwake au?
   
 16. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #16
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hata huo mwezi, Pearl bado mrefu sana,
  hebu punguza tena kidogo!!!!!!!
   
 17. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  unaweza kwenda kumwapoach mtu ambae si target kwako?
   
 18. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #18
  Jan 20, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kumbe una kazi na hilo furushi hapo nyuma; haya kazi kwako. Mie nilidhani umetamani hiyo miguu
   
 19. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  duh hapo si tutakuwa kuku tena jamani lol
   
 20. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tila tuongee ukweli, ukikutana na mwanamke ukishaiona reception lazima utataka uone uani pakoje then unatoa maksi kimoyo moyo..! siitaji maswali nawasilisha
   
Loading...