Singo Batan
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 304
- 213
Una uhakika na hiki unachokisema? Au umetumia tu haki yako ya kimsingi ya kutoa maoni humu jukwaani!!Hao jiiessm hawana mapenzi ya dhati na soka. Hao mda wowote wanachomoka endapo Wataona yanga imewalipa. Tofauti na mo yeye simba ikifungwa Hua anaymwa kabisa. Vilevile na familia ya bakhresa. Ila Hao wakwepa tozo siku vinye fc wakiamka na kuanza kudai maslai yao wanachomoka mazima mana watakuwa tayari wameshaipiga uto vya kutosha
Inamana cash za tozo ndo zinasepa singidaTozo nayo inanogesha maana mabush [emoji93] naona wako njema vile vile
Hahahahaaaa.....Umemsahau tajiri wa tozo
lakini nae pia ana share zake pale ndio maana akaitwa tajiri unaweza kusimamia mirathi lakini ukaitumia kukuza biashara binafsi sio dhambi.MO sio tajiri.
Ni msimamizi wa mirathi.
Singida Big Bullets ni ya wapi hii?Ligi yetu ya NBC sasa inaonesha kuwa na ushindani mkubwa na malengo ya kufika mbali. Hii inachagizwa sana na jeuri na nguvu ya pesa kutoka kwa matajiri wetu wa Bongo.
Battle ya fedha sasa inaonekana kwenye soka, hii sio tu inaleta raha na ushabiki kindaki ndaki katika soka, pia imezidi kufungua fursa ya ajira kwa vijana. Tizama Familia ya Bakhresa na Azam FC yao, kule kutana na Familia ya Dewji na Simba yao, upande mwingine kina Gharib na Yanga yao.
Kuna hawa vijana wa Singida walioanza jina la DTB na sasa "Singida Big Bullets" (wenye nayo si mnawajua?).
Geita kwa wachimba dhahabu nako sio haba, pesa inaleta kiburi na ujeuri. Ni pesa tu kila mahali. Kutunishiana misuli kwa hawa madigala ndio kunafanya tujadili sana kuhusu soka. kunafanya tupate wachambuzi mahili na wale wa "Michongo". Pesa inawabadilishia "chawa" timu za kushabikia, si mnamkumbuka Steve kulia lia? na Yule Mtoto wa Mzee Sunday Manara π π π.
Tufurahie vita ya pesa katika SOKA, na vikumbo kutoka kwa Big 3 giants GSM, BAKHRESA na Bwana MO DEWJI.
tupoteze stress za TOZO kidogo au sivyo[emoji28][emoji28].
Singida Big Bullets ni ya wapi hii?
Wote dini mojaLigi yetu ya NBC sasa inaonesha kuwa na ushindani mkubwa na malengo ya kufika mbali. Hii inachagizwa sana na jeuri na nguvu ya pesa kutoka kwa matajiri wetu wa Bongo.
Battle ya fedha sasa inaonekana kwenye soka, hii sio tu inaleta raha na ushabiki kindaki ndaki katika soka, pia imezidi kufungua fursa ya ajira kwa vijana. Tizama Familia ya Bakhresa na Azam FC yao, kule kutana na Familia ya Dewji na Simba yao, upande mwingine kina Gharib na Yanga yao.
Kuna hawa vijana wa Singida walioanza jina la DTB na sasa "Singida Big Bullets" (wenye nayo si mnawajua?).
Geita kwa wachimba dhahabu nako sio haba, pesa inaleta kiburi na ujeuri. Ni pesa tu kila mahali. Kutunishiana misuli kwa hawa madigala ndio kunafanya tujadili sana kuhusu soka. kunafanya tupate wachambuzi mahili na wale wa "Michongo". Pesa inawabadilishia "chawa" timu za kushabikia, si mnamkumbuka Steve kulia lia? na Yule Mtoto wa Mzee Sunday Manara π π π.
Tufurahie vita ya pesa katika SOKA, na vikumbo kutoka kwa Big 3 giants GSM, BAKHRESA na Bwana MO DEWJI.
tupoteze stress za TOZO kidogo au sivyoπ π .
Hili jukwaa halikosagi mataahira seriousHao GSM hawana mapenzi ya dhati na soka. Hao muda wowote wanachomoka endapo Wataona yanga imewalipa. Tofauti na Mo yeye simba ikifungwa Hua anaymwa kabisa.
Vilevile na familia ya bakhresa. Ila Hao wakwepa tozo siku vinye fc wakiamka na kuanza kudai maslai yao wanachomoka mazima mana watakuwa tayari wameshaipiga uto vya kutosha
SSB ni simba kama hujui na kabla ya kuanzisha azam fc alitaka aidhamini simbaSBS ni kichwa cha mwendawazimu, tajiri wake mwenyewe anashabikia Yanga sio SBS
Nimesema SBS sio SSB.SSB ni simba kama hujui na kabla ya kuanzisha azam fc alitaka aidhamini simba
Genge la Karia litawatimua hao 2 ndirect ili timu yake pendwa inuse japo ubingwa hata kama haina hizo sifaπ€£Ligi yetu ya NBC sasa inaonesha kuwa na ushindani mkubwa na malengo ya kufika mbali. Hii inachagizwa sana na jeuri na nguvu ya pesa kutoka kwa matajiri wetu wa Bongo.