Song il gok
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 878
- 936
Mpaka leo still wako poa,wana saa nzuri sana mpaka leo last time nimetoka Moshi nlifika pale kucheki kitu flani hivi nikakuta ofisi haijatetereka kabisaHahahaa...nakumbuka nilipokua dogo haipiti week bila kwenda kwenye duka la temba watch. Nilikua naenda kushangaa music system na saa. Dah maisha bwana