Umaskini wa kutupa kule boss acha kufananisha wakinga na wachagga katika historia utaumia.
Kirima/Umbwe/Mango/uchau/kitandu..??Asee huyu aliyetokewa najua anapoishi ni 1km na nyumban kwetu kibosho panaitwa kwa Daudi
Eee MnamaaKudeda nichaa kikihoso kuhiyoo mbarimu hahaha
Hawa kwa uchawi funga kazWakinga ndo kiboko ya Wachaga Kariakoo
Mtu akiwa hana hela, akiona wenye nazo wanatumia anaona kama wanaharibu pesa zao kwa kudai wanafanya manunuzi ya vitu vibaya visivyo na faidaIngekuwa kama unavyosema nadhani kila mtu angeacha!!
Achana na hizo hesabu zako za kubumba ambazo maselfish wa knowledge ya biashara hutoa!! Wewe ukiangalia status ya Kilimanjaro bus miaka ya nyuma na sasa huoni hatua za mafanikio katika biashara yake kama nilivyoeleza!!?
Hahaha unajifurahisha mkuuAcha kufananisha Wakinga na wachuuzi toka Kibosho
Macha afungue kesi ya madai kulipwa hizo mil 899 zake.yeye si taasisi ya kutoa mkopo iliyosajiliwa aseme ati alimkopesha mdaiwa akaweka collateral hati ya kiwanja .Hata sheria za nchi haziruhusu .Kama anaushahidi wa huo mkopo aende mahakamani atapata haki yake,iwe ni mahakama kuamuru Mali za mdaiwa ikiwemo hiko kiwanja liliko hilo ghorofa kupigwa mnada ili alipwe stahiki yake.Macha is not a saint lakini ili la hati ya ghorofa akutendewa haki.
Mimi hii issue nilikuwa siijui mpaka nilipomsikiza waziri muhusika alipokuwa ana mkabidhi mlalamikaji hati! Maelezo ya Waziri yalinitia huruma na kuona mlalamikaji inawezekana kaonewa.
Waziri aliongelea kuhusu utengenezaji wa hati bandia na kutumia chai ili hati hionekane ya zamani. Na akaelezea pia, wataalamu mbali mbali wamedhibitisha hati ya Macha ni fake.
Waziri pale pale alimkabidhi malalamikaji hati nyingine na kuamuru walinzi wa mlalamikiwa waondolewe pale Jamaa achukue eneo lake na
asibugudhiwe.
Lakini nilipofuatia ili swala zaidi kumbe utata ni kwamba malalamikaji anadai hajauza ghorofa lake na sio hati fake.
Hata kama Waziri amwamini Mke wa mlalamikaji ambaye anadai mume wake aliuza ghorofa kwa Macha na pia jamaa ana history ya uongo(TRA). Lakini ange-acknowledge Macha alimkopea jamaa zaidi ya milioni 899 enzi hizo. Na mlalamikaji apewe muda wa kuzilipa ili arudishiwe hati yake. Kumkabidhi jamaa hati nyngine ni kwamba pesa ya Macha ndio imepotea na Macha akifutilia pesa zake lazima jamaa harudi Kariakoo kuokota makopo tena watu waanze Mchagga anataka kumaliza jamaa kabisa!!
Waziri akamalizia kwa kusema wamehamasisha watu wenye migogoro ya viwanja kwenda wizarani na jina la jamaa limekuwa lina jitokeza tokeza. Ni wazi they are going to take every penny.
Watu ambao waliuza viwanja vyao kwa Macha na kuendelea na mambo yao. Lakini vyuma vimekaza sasa au wale wenye tamaa. Watarudi na debe la machozi na kupewa majumba ya Macha!
Zamu ya Macha kuokota makopo Kariakoo naona inakuja!!!
Mkuu nakuona unavyotataradiHahaha unajifurahisha mkuu
Yaan ufananishe maskini wakutupwa wakinga na ma Don wachaga?
Ukinga hko kumechakaa haswa watu wanaishi Kama manyani Hakuna hata miundombn maskini wakubwa
Uchagani ndio matajiri wakubwa na hawana shida vijin kwao pia wana elimu,wakinga 60% hawajui kusoma wala kuandika
ONA KWA WAKINGA KULIVYO POOR SANAView attachment 1172908
Naona juzi kwny wale machangu waliopigishwa paredi out of 15 wahaya walikua 7 wakitaradadi wenyeweee.Mkuu nakuona unavyotataradi
Kombo sehemu gani alizikwa huyu mzee wetuMunicy nadhan amestaafu,anasumbuliwa na sukari sana
Babu wa bialojia mwl Kirama alishafariki amezikwa pale kwake Kombo
Yule aliyetrend imekuaje tena kumbe amefanyiwa visaMtazamo wangu tutawaona wengi sana biashara zao zikiyumba. Huu ni muendelezo wa mikakati ya awamu iliyopita. Lakini awa wa sasa hivi hawapo patient na wameamua kufanya wazi wazi.
Ulimsikia juzi Cathebert Swai juzi akilia lia. Halafu nilisoma Yule Mama mkubwa hapo Moshi baada ya kufungua kikao akasepa. Hii inaonyesha anajua aliyofanyiwa ni uonevu lakini hana nguvu ya kumfanya chochote.
Week iliyopita Macha naye kanyanganywa Gorofa lake hapa Dar. Mke wa malalamikaji mpaka katoa ushahidi mahakamani against Mume wake . Kadai mumewe alikopa pesa nyingi kwa mlalamikiwa na hatimaye kumuuzia ghorofa Macha. Sijui walitaka ushahidi gani zaidi?!
Wanajua Kaskazini inapata kipato kizuri kwenye utalii. Wameanzisha mkakati wa mbuga nyingine kwao wakiamini itaimaliza Kaskazinj...ni mission impossible.
I’m really confused kwasababu kuna wanayofanya awamu hii ambayo Nina unga mkono lakini wanayofanya dhidi ya Kaskazini sio mazuri!!
Naskia ilitokea hapa karibia na Kibo match pale kwenye daraja lile yaani ni karibia na kwetu kabisaAliyetajirikia kwenye ajali ya basi la SAFINA, alikuwa akiitwa John Kirisso.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hizi ngumi hizi embu msamehe banaNaona juzi kwny wale machangu waliopigishwa paredi out of 15 wahaya walikua 7 wakitaradadi wenyeweee.
Hahaha et mkinga aliyejua kusoma na kuandika juzi amzidi mangi aliyezaliwa na phd si itakuwa kituko mkuu?Mkuu nakuona unavyotataradi
Mkuu kaskazn hata waifanyeje hawataweza kuibomoa kiuchumi,watu wenye akili ni ngumu kuwafilisi uchumi,watahangaika mwshowe wataona aibu tuYule aliyetrend imekuaje tena kumbe amefanyiwa visa
Mm Pia naunga mkono asamehewe[emoji3][emoji3] hapa aone matajiri wa moshi na história zao na kujifunza kuhusu kilimanjaro kwa ujumla kiuchumi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hizi ngumi hizi embu msamehe bana
PointNafuu huyo anaeua wanyama kuliko wanaoua binadamu ili watajirike.
Kabisa waliandika wahaya .Naona juzi kwny wale machangu waliopigishwa paredi out of 15 wahaya walikua 7 wakitaradadi wenyeweee.