Matajiri wa manispaa ya Morogoro

Wakina balabou hawapo kwenye list

Ova
Nimemkumbuka huyu jamaa kitambo sana, awamu ya tatu ya serikali mwishoni mwishoni ndio alikuwa kwenye peak na kampuni yake ya TIOT, wakati huo pia wana timu ya soka ya Moro United, Maulidi Kitenge akimuhoji kwenye kipindi cha michezo radio one anamtambulisha kama "Merey Balhabou Abramovich". Maisha haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…