hiyo ni enzi za mwalimu sio sasa usd 3000 utamtambia nani bongo kwa sasa..Bongo ni rahisi sana kuitwa tajiri ukiwa na hata euro elfu 25 ambayo ni kama million 60. Likizo yangu ya kwanza kurudi bongo nilikuwa na kama dollars za kimarekani elfu tatu hivi. Nilikuwa natinga suti kila siku na miwani ya giza mieusi. Niliitwa millionea. Nilikodisha kaprado flani. Nywesha maboya pombe na kutandaza miti at will. Zilipokaribia kuisha nikaingia mitini kujificha nikisubiria siku ya return ticket huku nikimpiga mizinga ya hatarii mbibi wangu akawa anatumia Western union kidogo kidogo. Niliacha gumzo
Taj Mohammed sio alikuwa mmliki wa uwanja wa jamhuri laa, bali yeye ndie alieujenga kwa garama zake walivyomalizana ndio wakaumiliki kwa 100%.Meela ndio mwenye baa pale mjini ?
Taj Mohamed ndie aliekuwa mmiliki wa uwanja w jamhuri kabla hajapokonywa na CCM.
Hujaona sababu hawapoYaani sijaona hata mwanamke,
Au ndo mnatajaga mume mtu kumuwakilisha mke?
Mafanikio mengi ya mwanaume kuna mwanamke makini nyuma.
Walimfidia au aliporwa kitemi??Meela ndio mwenye baa pale mjini ?
Taj Mohamed ndie aliekuwa mmiliki wa uwanja w jamhuri kabla hajapokonywa na CCM.
Anamiliki sheli ya mafuta kwenye kona ya kuingia hospitali ya mkoa. Pia pale Msamvu zile fremu zilizopo mbele ya Terminal Pub ni zake, na kama sikosei hata eneo lote la Terminal Pub ni lake...Meela ndio mwenye baa pale mjini ?
Taj Mohamed ndie aliekuwa mmiliki wa uwanja w jamhuri kabla hajapokonywa na CCM.
Kaporomosha bonge la gorofa pale Msamvu, ambalo itakuwa hotel. Kaifunika kabisa zile hotel zingine...Shabiby