Matajiri wa Kiislamu Jengeni Vyuo Vikuu

Matajiri wa Kiislamu Jengeni Vyuo Vikuu

Status
Not open for further replies.

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,092
Tanzania inamatajiri wengi sana wa Kiislamu ambao ni mashabiki wa vilabu vikubwa vya Simba na Yanga.

Matajiri hawa wa Kiislam wanauwezo wa kutoa dolari laki moja, mbili na zaidi ili watu waingie kwenye mtanange viwanjani .

Cha ajabu, mimi sijasikia hata mara moja Matajiri hawa wa Kiislam wakitoa dolari kujenga vyuo vikuu na au maospitali nk.

Hivi tatizo lipo wapi kwa matajiri wa Kiislam katika kuendeleza ummah? Mbona Matajiri wa Kikristo wapo mstari wa mbele kujenga vyuo na mahospitali.

Wanajamii tatizo ni nini kwa matajiri wa kiislam?
 
nakututakia ramadhan njema mkuu.. waislmau wapo kwenye mfungo watakuja kukujibu baada ya siku zao 30 kuisha
 
Elimu dunia ni ya makafir wao wamewekeza kwenye elimu akhera
 
Ni vyema ungeweka evidence kwa upande wa matajiri wa kikristo waliojenga vyuo vikuu hapa Bongo.
 
St Laureate primary iliyoko mikocheni na sekondary iliyoko Mbezi Makonde ni Mali ya tajiri mwislamu
 
Wamejaribu kujenga secondary na hospitali lkn hazifiki mbali kwani wanaingiza udini. Kwa mfano mwalimu lazima awe mwislamu au mgonjwa wa kike lazima aonwe na daktari wa kike. Kweli hawa kwenye elimu dunia hawawezi kabisa
 
Jaman siwanachuo chao MMUM, kwani mkristo gani? Alyejenga chuo kikuu?
 
Tutajie chuo kikiuu hata kimoja kilichojengwa na matajiri wa kikristo wazalendo wa Tanzania. Tuanzie hapo kwanza kabla hujatoa shutuma kwa wengine!
 
Kaombeni kazi morogoro muslim university kama jina lako ni la kibiblia CV inapokelewa kwenye dustbin!
 
Hili ni suala la vipaumbele tu!! mbona hata Matajiri wa ki-Kristu ni wavivu sana wa kuoa wake wengi? Badala ya pesa zao kuzitumia kuoa ili kupunguza tatizo la wanawake kutokuwa na waume wao wanazipeleka kujengea vyuo.
 
Hili ni suala la vipaumbele tu!! mbona hata Matajiri wa ki-Kristu ni wavivu sana wa kuoa wake wengi? Badala ya pesa zao kuzitumia kuoa ili kupunguza tatizo la wanawake kutokuwa na waume wao wanazipeleka kujengea vyuo.

Tutajieni hivyo vyuo walivyojenga matajiri wa kikristu bongo!!!!!!!!! Acheni porojo!
 
nimesoma post zote...lakini kuna swali linajirudia....TAJENI VYUO VILIVYOJENGWA NA MKRISTO...sijaona jibu!!
Au hakuna??
 
nimesoma post zote...lakini kuna swali linajirudia....TAJENI VYUO VILIVYOJENGWA NA MKRISTO...sijaona jibu!!
Au hakuna??
  1. St Augustine
  2. Bishop Theophile Kisanji
  3. Makumira
  4. Tumaini
  5. Nk
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom