Enough is enough
Naomba niumalize huu mzizi wa fitina kati ya matajiri wa arusha na matajiri wa dar maana naona tunaleteana mbwembwe hapa
Mtu unamwita billionaire kwa kipi?
Mie naomba niwataje matajiri wa bongo ambao wanakimbiza hao wenu wa arusha
Simtaji bakhresa maana nitakuwa nimewaonea sana ila hii ndio list yangu
Mafuruki
Kimei
Kusaga
Kinje
Riz1
Michael ngeleku
Mkono
Shigongo
Freeman
David mosha
Marsha
Ray wa regency
Dogo mwenye herderly plaza
Luca mumewe nancy
Hao niliowataja ni watu wa kawaida saaaaana hapa dar ila wakija arusha ni mabillionaire
Huyo mawala hivi alikuwa anamzidi mkono?
Naulizaaaaaa
Sijawataja kina mo, kina rostam kwani najua nitawaonea
Hivyo basi naomba nyie machalii mtu akizungusha round ya bia kila siku mzimwite billionaire sawa wakuu
Nimemaliza
Age matter embu watoe hao Mfuruki na Mkono, pia Month na Rostam sio wa Dar, sasa hao walobaki tuambie wananini na wanamiliki ndege ngapi. Usihusishe mali zinazotajwa wenyewe wanazikana maana zile wameingia ubia na watu. Kumbuka matajiri wa Arusha zile ni zao na wala hawamung'unyi wengine wamefunga mitaa kwa majina yao
Enough is enough
Naomba niumalize huu mzizi wa fitina kati ya matajiri wa arusha na matajiri wa dar maana naona tunaleteana mbwembwe hapa
Mtu unamwita billionaire kwa kipi?
Mie naomba niwataje matajiri wa bongo ambao wanakimbiza hao wenu wa arusha
Simtaji bakhresa maana nitakuwa nimewaonea sana ila hii ndio list yangu
Mafuruki
Kimei
Kusaga
Kinje
Riz1
Michael ngeleku
Mkono
Shigongo
Freeman
David mosha
Marsha
Ray wa regency
Dogo mwenye herderly plaza
Luca mumewe nancy
Hao niliowataja ni watu wa kawaida saaaaana hapa dar ila wakija arusha ni mabillionaire
Huyo mawala hivi alikuwa anamzidi mkono?
Naulizaaaaaa
Sijawataja kina mo, kina rostam kwani najua nitawaonea
Hivyo basi naomba nyie machalii mtu akizungusha round ya bia kila siku mzimwite billionaire sawa wakuu
Nimemaliza
Enough is enough
Naomba niumalize huu mzizi wa fitina kati ya matajiri wa arusha na matajiri wa dar maana naona tunaleteana mbwembwe hapa
Mtu unamwita billionaire kwa kipi?
Mie naomba niwataje matajiri wa bongo ambao wanakimbiza hao wenu wa arusha
Simtaji bakhresa maana nitakuwa nimewaonea sana ila hii ndio list yangu
Mafuruki
Kimei
Kusaga
Kinje
Riz1
Michael ngeleku
Mkono
Shigongo
Freeman
David mosha
Marsha
Ray wa regency
Dogo mwenye herderly plaza
Luca mumewe nancy
Hao niliowataja ni watu wa kawaida saaaaana hapa dar ila wakija arusha ni mabillionaire
Huyo mawala hivi alikuwa anamzidi mkono?
Naulizaaaaaa
Sijawataja kina mo, kina rostam kwani najua nitawaonea
Hivyo basi naomba nyie machalii mtu akizungusha round ya bia kila siku mzimwite billionaire sawa wakuu
Nimemaliza
Tatizo la vijana wa Arusha wakipewa bia na nyama choma tu wanawaita watu bilionea. Labda niulize Arusha kuna matajiri wa ngapi wenye viwanda.
Enough is enough
Naomba niumalize huu mzizi wa fitina kati ya matajiri wa arusha na matajiri wa dar maana naona tunaleteana mbwembwe hapa
Mtu unamwita billionaire kwa kipi?
Mie naomba niwataje matajiri wa bongo ambao wanakimbiza hao wenu wa arusha
Simtaji bakhresa maana nitakuwa nimewaonea sana ila hii ndio list yangu
Mafuruki
Kimei
Kusaga
Kinje
Riz1
Michael ngeleku
Mkono
Shigongo
Freeman
David mosha
Marsha
Ray wa regency
Dogo mwenye herderly plaza
Luca mumewe nancy
Hao niliowataja ni watu wa kawaida saaaaana hapa dar ila wakija arusha ni mabillionaire
Huyo mawala hivi alikuwa anamzidi mkono?
Naulizaaaaaa
Sijawataja kina mo, kina rostam kwani najua nitawaonea
Hivyo basi naomba nyie machalii mtu akizungusha round ya bia kila siku mzimwite billionaire sawa wakuu
Nimemaliza
tuko wengi tu....
huko dar watu wengi ni longolongo tu na ma dili ya kitapeli na wizi wa pesa za serekali hamna lolote