Ungekuwa huna bundle usingeweza hata jibu hii thread, thxAisee .mkuu una assume wote tuna bando eh ?
Usiishi maisha ya kukariri ndugu, naweza kukwambia %50 humu watu wanaingia bila bando kwa wale wanaotumia simu za mkononi.Ungekuwa huna bundle usingeweza hata jibu hii thread, thx
Watanzania tumekuwa vizuri sana kujifanya waalimu mda wote, ndugu ang wapi imeandikwa anayetumia simu ya mkononi haikai bundle ya video? dont be 2 critical rafk.Usiishi maisha ya kukariri ndugu, naweza kukwambia %50 humu watu wanaingia bila bando kwa wale wanaotumia simu za mkononi.
Thx for checking by aisee, sasa hiyo video unayoiepuka hata haifundishi watu kujaza vocha rafkntachek badae kdg ngoja nkatafute pesa ya vocha
yo welcome rafk
Bora kuandika niwe mwandishi tu au nifanye video niwe videographer bora?Bora Ungeandika
atleast natafuta views for money, we unatafuta nn for nn? fault-finding wont do you any good. Support when people do smthn historical n majorWatafuta Viewz
I aint trying to be an author, m a video guru. let me try to perfect my skills. Kamalize kusoma vitabu vyote vya dunia nzima afu uje hapaMimi masikini hainisaidii kuwajua matajiri waliofilisika kwa kuangalia video ya majina yao.
Ungeyaandika hapa ningeyasoma.
Hii lugha kumbe ni ngumu namna hii? Mi nilijua ni kwa wageni tu kumbe hadi wazawa!!? Hatuja kataa kwamba simu haziwezi kuwa na bando la video ila nimekwambia watu wanaperuzi bure kabisa kiasi kwamba ukiweka link tu mtu hawezi kuingia humo bila mb, we huoni wadau wengine hapo juu wanakwambia bota ungewaandika tu? Sio kwamba wote hawana bando ila ni vyema kuwa na kumbu kumbu ya maneno upo hapo?Watanzania tumekuwa vizuri sana kujifanya waalimu mda wote, ndugu ang wapi imeandikwa anayetumia simu ya mkononi haikai bundle ya video? dont be 2 critical rafk.
Una majibu ya karaha! Can't u lay low? Hawa unaowajibu fyongo ndo wanatakiwa wakuongezee views.u have to retain em! Acha kibri Jecha weweI aint trying to be an author, m a video guru. let me try to perfect my skills. Kamalize kusoma vitabu vyote vya dunia nzima afu uje hapa
Kama ilivyo vymea kuweka historia kimaandishi, at this 21 century video ni vyema zaidi. Af mi sio muandishi aisee, usitake niwe kama wewe. I am a video guru tu, hayo mengine unayajua weweHii lugha kumbe ni ngumu namna hii? Mi nilijua ni kwa wageni tu kumbe hadi wazawa!!? Hatuja kataa kwamba simu haziwezi kuwa na bando la video ila nimekwambia watu wanaperuzi bure kabisa kiasi kwamba ukiweka link tu mtu hawezi kuingia humo bila mb, we huoni wadau wengine hapo juu wanakwambia bota ungewaandika tu? Sio kwamba wote hawana bando ila ni vyema kuwa na kumbu kumbu ya maneno upo hapo?
Una majibu ya karaha! Can't u lay low? Hawa unaowajibu fyongo ndo wanatakiwa wakuongezee views.u have to retain em! Acha kibri Jecha wewe
Nimeshagundua kumbe namuelekeza mwezi mchanga, najuta kucomment kwenye hili liuzi lililokua limekufa tangu j,mosi.Kama ilivyo vymea kuweka historia kimaandishi, at this 21 century video ni vyema zaidi. Af mi sio muandishi aisee, usitake niwe kama wewe. I am a video guru tu, hayo mengine unayajua wewe