Matajiri 10 Wakubwa Waliofilisika Ghafla!

Mimi masikini hainisaidii kuwajua matajiri waliofilisika kwa kuangalia video ya majina yao.

Ungeyaandika hapa ningeyasoma.
 
Usiishi maisha ya kukariri ndugu, naweza kukwambia %50 humu watu wanaingia bila bando kwa wale wanaotumia simu za mkononi.
Watanzania tumekuwa vizuri sana kujifanya waalimu mda wote, ndugu ang wapi imeandikwa anayetumia simu ya mkononi haikai bundle ya video? dont be 2 critical rafk.
 
Mimi masikini hainisaidii kuwajua matajiri waliofilisika kwa kuangalia video ya majina yao.

Ungeyaandika hapa ningeyasoma.
I aint trying to be an author, m a video guru. let me try to perfect my skills. Kamalize kusoma vitabu vyote vya dunia nzima afu uje hapa
 
Watanzania tumekuwa vizuri sana kujifanya waalimu mda wote, ndugu ang wapi imeandikwa anayetumia simu ya mkononi haikai bundle ya video? dont be 2 critical rafk.
Hii lugha kumbe ni ngumu namna hii? Mi nilijua ni kwa wageni tu kumbe hadi wazawa!!? Hatuja kataa kwamba simu haziwezi kuwa na bando la video ila nimekwambia watu wanaperuzi bure kabisa kiasi kwamba ukiweka link tu mtu hawezi kuingia humo bila mb, we huoni wadau wengine hapo juu wanakwambia bota ungewaandika tu? Sio kwamba wote hawana bando ila ni vyema kuwa na kumbu kumbu ya maneno upo hapo?
 
I aint trying to be an author, m a video guru. let me try to perfect my skills. Kamalize kusoma vitabu vyote vya dunia nzima afu uje hapa
Una majibu ya karaha! Can't u lay low? Hawa unaowajibu fyongo ndo wanatakiwa wakuongezee views.u have to retain em! Acha kibri Jecha wewe
 
Hii lugha kumbe ni ngumu namna hii? Mi nilijua ni kwa wageni tu kumbe hadi wazawa!!? Hatuja kataa kwamba simu haziwezi kuwa na bando la video ila nimekwambia watu wanaperuzi bure kabisa kiasi kwamba ukiweka link tu mtu hawezi kuingia humo bila mb, we huoni wadau wengine hapo juu wanakwambia bota ungewaandika tu? Sio kwamba wote hawana bando ila ni vyema kuwa na kumbu kumbu ya maneno upo hapo?
Kama ilivyo vymea kuweka historia kimaandishi, at this 21 century video ni vyema zaidi. Af mi sio muandishi aisee, usitake niwe kama wewe. I am a video guru tu, hayo mengine unayajua wewe
 
Una majibu ya karaha! Can't u lay low? Hawa unaowajibu fyongo ndo wanatakiwa wakuongezee views.u have to retain em! Acha kibri Jecha wewe
:D:D I like this remark aisee, dude I aint tryin to be rude or smthn I just made an argument tuu.
 
Kama ilivyo vymea kuweka historia kimaandishi, at this 21 century video ni vyema zaidi. Af mi sio muandishi aisee, usitake niwe kama wewe. I am a video guru tu, hayo mengine unayajua wewe
Nimeshagundua kumbe namuelekeza mwezi mchanga, najuta kucomment kwenye hili liuzi lililokua limekufa tangu j,mosi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom